Hadi ijengwe sio leo
Ijengwe mara ngapi? Unajua kusoma?Hadi ijengwe sio leo
Ili banda la kufugia kuku wa kisasa linapatikana sehem gani?
Mkuu sgr inapita mikoa yote sio Mwanza tu, Mwanza toka uhuru mpka 2015 ilijijenga yenyewe, Mwanza imekuna kupata miradi awamu ya Magufuli lakin sasa Mwanza imerudi kipindi chake chakupambania komne bila mbeleko, kila fursa, miradi inapelekwa Dar, Arusha na dodom kama zamaniArusha hii hii ambayo haina stendi ndio inapendelewa lakini mwanza yenye stendi mbili mpya, daraja la jpm na sgr inajijenga yenyewe sio nyie watu wa ziwani mnashida sana
Hilo jengo ni billion 7
Kama godown ππHilo jengo ni billion 7
Kubwa ila hovyo tuu.uKitaka kujua mwanza kubwa angalia kila siku ni watu kiasi gani huingia mwanza ni tofauti na arusha maana kanda ya ziwa karibia yote inategemea mwanza kwa asilimia 68% ambapo ni tofauti na arusha
Wacha tucheke tuππKubwa ila hovyo tuu.
Arusha
View: https://youtu.be/dv7dEaLgnf0?si=1Tt4YYsdD8mCjJxk
Mwanza
View: https://youtu.be/VjLvoKDIHZc?si=_P100mILuss2AMxo
Mwanza ni kituko,umeona ma slums yalivyojaa πππWacha tucheke tuππ
Hii ndio mwanza wanayoisifiaga
Hiyo drone ya mwanza inaonesha giza tupu! Acha utani bhana! Mwanza ipe heshima yake kaka! Endelea kujifariji!Mwanza ni kituko,umeona ma slums yalivyojaa πππ
Heshima gani? Hilo jambo halihitaji ubishi ,Arusha magorofa 7,000 Mwanza 4,000 Sasa Kuna heshima gani mnataka?Hiyo drone ya mwanza inaonesha giza tupu! Acha utani bhana! Mwanza ipe heshima yake kaka! Endelea kujifariji!
Mbona hapo hamna usawa, video ya mwanza picha mpauko, alafu ni ya mwaka 2005 kabla ya uwanja wa nyamagana kuwekwa nyasi, kipindi hicho magorofa na view ya mwanza haikuwa hot kama sasa, na Arusha umeweka video ya wakati huu, je hii ni sawa?Kubwa ila hovyo tuu.
Arusha
View: https://youtu.be/dv7dEaLgnf0?si=1Tt4YYsdD8mCjJxk
Mwanza
View: https://youtu.be/VjLvoKDIHZc?si=_P100mILuss2AMxo
Hakuna usawa hapo video ya mwanza ipo ovyo na ya Arushs ipo clear na video effects kibaoWacha tucheke tuππ
Hii ndio mwanza wanayoisifiaga
Wewe ni jinga sana ngoja niweke video ya Mwanza then linganisha na arushaHeshima gani? Hilo jambo halihitaji ubishi ,Arusha magorofa 7,000 Mwanza 4,000 Sasa Kuna heshima gani mnataka?
Weka video ya Mwanza nzuri basiMbona hapo hamna usawa, video ya mwanza picha mpauko, alafu ni ya mwaka 2005 kabla ya uwanja wa nyamagana kuwekwa nyasi, kipindi hicho magorofa na view ya mwanza haikuwa hot kama sasa, na Arusha umeweka video ya wakati huu, je hii ni sawa?
ππππππWewe ni jinga sana ngoja niweke video ya Mwanza then linganisha na arusha
Sehemu gani hakuna slumMwanza ni kituko,umeona ma slums yalivyojaa πππ