ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Dom,Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro nkSehemu gani hakuna slum
Acha kuchekesha vipofu na viziwiDom,Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro nk
Mwanza yote ni slum ๐๐
Ila Mwanza huwa inakunyima usingizi๐๐๐Dom,Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro nk
Mwanza yote ni slum ๐๐
Usingizi gani huko dampo?Ila Mwanza huwa inakunyima usingizi๐๐๐
Hakika Mwanza ni dampo la maokoto, ni mji wa fursa.Usingizi gani huko dampo?
๐๐๐ ila tuacheni utani hapa ni city centre mwanza lakini ukikutana nao huku jf sasa๐๐Usingizi gani huko dampo?
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐ ila tuacheni utani hapa ni city centre mwanza lakini ukikutana nao huku jf sasa๐๐
Kama huamini muambie kitombile apige selfie akiwa nje
NB: Hiyo picha imepigwa mafilter kibao hadi kuwa hivyo
Mtapata magonjwa ya moyo pamoja na kupooza ili jiji la Mwanza ni balaa, hiyo milima na hizo nyumba ni utalii tosha, kujenga nyumba kwenye mlima unazani ni virahisi kama kwenda chooni.๐๐๐ ila tuacheni utani hapa ni city centre mwanza lakini ukikutana nao huku jf sasa๐๐
Kama huamini muambie kitombile apige selfie akiwa nje
NB: Hiyo picha imepigwa mafilter kibao hadi kuwa hivyo
Inaitwa slum tourismMtapata magonjwa ya moyo pamoja na kupooza ili jiji la Mwanza ni balaa, hiyo milima na hizo nyumba ni utalii tosha, kujenga nyumba kwenye mlima unazani ni virahisi kama kwenda chooni.
Utalii wa nyumba za tembe na barabara za tope 2km kutoka Arusha centre๐๐๐๐๐๐Inaitwa slum tourism
Yani unaleta picha za zamani...hapo kijenge fika sasaivi kuna lami safiiUtalii wa nyumba za tembe na barabara za tope 2km kutoka Arusha centre๐๐๐๐๐๐
View attachment 2786593
Jifunze kupost alafu hivyo vijumba ni kama vile upo kijiji cha kipumundu.Yani unaleta picha za zamani...hapo kijenge fika sasaivi kuna lami safii
Sio jifunze kupost mi nimekuonesha hali halisi namna kijenge kwa sasa ilivotofauti na picha uliotumaJifunze kupost alafu hivyo vijumba ni kama vile upo kijiji cha kipumundu.
Si ameenda kudownload๐๐๐Yani unaleta picha za zamani...hapo kijenge fika sasaivi kuna lami safii
Mjinga sana uyo mtoto[emoji23]Si ameenda kudownload[emoji1][emoji1][emoji1]
Mbeya hakuna slums eeDom,Arusha,Mbeya,Tanga, Morogoro nk
Mwanza yote ni slum ๐๐
Jifunze ku post unatuumiza machoMbeya hakuna slums ee
Bado MV umoja kutoka kwenda Uganda hiyo meli ya MV uhuru imeanza kuingia Mwanza, inaonesha ni kiasi jiji la Mwanza litazid kufunguka, tusubiri sgr na meli ya mv Mwanza ikamilike hakika maji mtaita mma.
Kwani tunashindana๐๐Bado MV umoja kutoka kwenda Uganda hiyo meli ya MV uhuru imeanza kuingia Mwanza, inaonesha ni kiasi jiji la Mwanza litazid kufunguka, tusubiri sgr na meli ya mv Mwanza ikamilike hakika maji mtaita mma.