Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Usingizi gani huko dampo?
😄😄😄 ila tuacheni utani hapa ni city centre mwanza lakini ukikutana nao huku jf sasa😄😄

Kama huamini muambie kitombile apige selfie akiwa nje

NB: Hiyo picha imepigwa mafilter kibao hadi kuwa hivyo
 
Attachments

  • Screenshot_20231019-135118_Chrome.jpg
    Screenshot_20231019-135118_Chrome.jpg
    100.8 KB · Views: 15
😄😄😄 ila tuacheni utani hapa ni city centre mwanza lakini ukikutana nao huku jf sasa😄😄

Kama huamini muambie kitombile apige selfie akiwa nje

NB: Hiyo picha imepigwa mafilter kibao hadi kuwa hivyo
😁😁😁😁😂😂😂😂😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtapata magonjwa ya moyo pamoja na kupooza ili jiji la Mwanza ni balaa, hiyo milima na hizo nyumba ni utalii tosha, kujenga nyumba kwenye mlima unazani ni virahisi kama kwenda chooni.
 
Inaitwa slum tourism
 
Bado MV umoja kutoka kwenda Uganda hiyo meli ya MV uhuru imeanza kuingia Mwanza, inaonesha ni kiasi jiji la Mwanza litazid kufunguka, tusubiri sgr na meli ya mv Mwanza ikamilike hakika maji mtaita mma.
Kwani tunashindana😂😂
 
Back
Top Bottom