Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Watu wa Mwanza Arusha inazidi kuwapoteza kwenye ramani.Ni Mwendo wa magorofa tuu πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Hili nalo litapita Mwanza ukikuta project ya maana jua kabisa ni private sector na wapambanaji, Wenzetu hongereni naona mnaletewa fursa mlangoni mshindwe nyie tu na wakisema kinachofuata ni utekelezaji sasa fanya kinyume chake kwa huku kwetu, na nafikiri ingekua inawezekana kulihamisha lile ziwa na yale madini basi awamu hii wangekwisha yaamisha ila yote kheri kikubwa pumzi!
 
cc Kitombile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii hawamu ni balaa asee tukaze kende hakuna namna nayo yatapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…