Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Hizo picha nimeweka lin humu ziangalie vizuri nakuja tena.Kila siku tupicha huyo huyo,hakunaga Majengo mapya huko Mwanza? ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo picha nimeweka lin humu ziangalie vizuri nakuja tena.Kila siku tupicha huyo huyo,hakunaga Majengo mapya huko Mwanza? ππ
Uhakika wa Viwanda ni Arusha ππHizo picha nimeweka lin humu ziangalie vizuri nakuja tena.
Maskini Mwanza ndio itapotezwa mazima na Arusha baada ya miradi hii ya Afcon.
-Kiwanja
-Barabara
View: https://www.instagram.com/p/C4sL4OuNACf/?igsh=MW1lZnFlYzI0MXB3eQ==View attachment 2938919View attachment 2938920View attachment 2938921
View: https://youtu.be/q05ytnyfpa0?si=jLrsYa4X_7tKcjKO

cc Kitombile ππππππHili nalo litapita Mwanza ukikuta project ya maana jua kabisa ni private sector na wapambanaji, Wenzetu hongereni naona mnaletewa fursa mlangoni mshindwe nyie tu na wakisema kinachofuata ni utekelezaji sasa fanya kinyume chake kwa huku kwetu, na nafikiri ingekua inawezekana kulihamisha lile ziwa na yale madini basi awamu hii wangekwisha yaamisha ila yote kheri kikubwa pumzi!
Hii hawamu ni balaa asee tukaze kende hakuna namna nayo yatapita.Hili nalo litapita Mwanza ukikuta project ya maana jua kabisa ni private sector na wapambanaji, Wenzetu hongereni naona mnaletewa fursa mlangoni mshindwe nyie tu na wakisema kinachofuata ni utekelezaji sasa fanya kinyume chake kwa huku kwetu, na nafikiri ingekua inawezekana kulihamisha lile ziwa na yale madini basi awamu hii wangekwisha yaamisha ila yote kheri kikubwa pumzi!
Usiihueishe Mbeya kwenye umaskini na njaa zenu πππππUnacheka wakati Mwanza na Mbeya ni kama watoto wa baba mmoja hatuthaminiki.
Malalamiko fc πππππHii hawamu ni balaa asee tukaze kende hakuna namna nayo yatapita.