ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa jambo hili hakika Arusha wapo vizuri na sisi Mwanza tunatakiwa kujifunza wao wamefanyaje kuongeza mapato mara mbili zaidi ya mapato ya awali.Mwanza mtafiki lini hizi level za Arusha za makusanyo ya ndani zaidi ya Bilioni 60? ππ
View: https://youtu.be/5EjA-bQm73Q?si=iMX92jZDgyoLKFTD
Utalii mkuu umeamka kwa spidi ya ajabu nlikua arusha juzi gari za utalii cruser hadi zinasababisha foleni mwanza airport ikikamilika hata nyie mtafaidikaKwa jambo hili hakika Arusha wapo vizuri na sisi Mwanza tunatakiwa kujifunza wao wamefanyaje kuongeza mapato mara mbili zaidi ya mapato ya awali.
Watalii wa wapi hao wa kwenda Mwanza?Utalii mkuu umeamka kwa spidi ya ajabu nlikua arusha juzi gari za utalii cruser hadi zinasababisha foleni mwanza airport ikikamilika hata nyie mtafaidika
Hutaki kuwafariji kabisaπWatalii wa wapi hao wa kwenda Mwanza?
Kazi nzuri ya Mama na hapo tunselekea msimu wa Utalii yaani peak season.
Mwanza ni Mkoa maskini sana ,hakuna mzunguko wa hela,kumejaa maskini na Ardhi finyu na imejaa mawe.
Mwanza ni Mkoa wa hovyo sana ,umejaa maskini.Hutaki kuwafariji kabisaπ
Hapo lakini hujajumuisha na ilemela mcMwanza ni Mkoa wa hovyo sana ,umejaa maskini.
Angalia licha ya kuwa Mkoa una Jiji na Manispaa na Kwa pamoja kuna wakazi zaidi ya Milioni 1 lakini imezidiwa Mapato na Arusha.
Tuliwaambia Mwanza ni Jiji la maskini na Halina fursa wanatoa mapovu.Kiko wapo Sasa π€ͺπ€ͺView attachment 2965692View attachment 2965693View attachment 2965698
We kweli chizi ...unavyoandika mwanza cc una maana Gani Kwan ilemela na nyamagana ni halmashauri Moja?Mwanza ni Mkoa wa hovyo sana ,umejaa maskini.
Angalia licha ya kuwa Mkoa una Jiji na Manispaa na Kwa pamoja kuna wakazi zaidi ya Milioni 1 lakini imezidiwa Mapato na Arusha.
Tuliwaambia Mwanza ni Jiji la maskini na Halina fursa wanatoa mapovu.Kiko wapo Sasa π€ͺπ€ͺView attachment 2965692View attachment 2965693View attachment 2965698
Nikiwagawanyisha mtachekwa na kuabishwa zaidi.We kweli chizi ...unavyoandika mwanza cc una maana Gani Kwan ilemela na nyamagana ni halmashauri Moja?
Hiyo ni summary ya Mapato ya Halmashauri zote Mkoa wa Mwanza Kwa Kila Moja na ilichokusanya.Hapo lakini hujajumuisha na ilemela mc
Hapo kwa tunduma kuizidi kahama umetupiga changa la machoHiyo ni summary ya Mapato ya Halmashauri zote Mkoa wa Mwanza Kwa Kila Moja na ilichokusanya.
Kule nimejumlisha Kwa sababu kuwafichia Mwanza aibu maana nikiyenganisha wangekuwa wa mwisho huko hata Mbeya ingekuwa Juu Yao.
Mwisho Ili wasijiskie aibu na Kwa vile Ilemela MC na Mwanza CC ni maeneo ya Mjini hapo hapo ni vyema kujumlisha kama Dar ilivyo.
Mkoa wa shinyanga ni wa nne kwa kutumia umeme mwingi Tanzania na mchango mkubwa unatoka kahamaHapo kwa tunduma kuizidi kahama umetupiga changa la macho
Unaongea kwa hisia zako tu
Unaijua kahama wewe
HakikaMkoa wa shinyanga ni wa nne kwa kutumia umeme mwingi Tanzania na mchango mkubwa unatoka kahama
Kahama inaenda kupitiwa na sgr pale isaka
Kahama ndio inaenda kuwa lango la africa mashariki
Ukiwa Rwanda na Burundi miji ya Tanzania wanayoijua ni Dar na Kahama pekee
Leo uje ulinganishe Kahama na Tunduma kweli?
Hiyo si border tuπ€£π
Huoni kwamba una shida kichwani? Tunduma ni lango la SADC yote sio lango la Burundi na Rwanda Kama Kahama πππMkoa wa shinyanga ni wa nne kwa kutumia umeme mwingi Tanzania na mchango mkubwa unatoka kahama
Kahama inaenda kupitiwa na sgr pale isaka
Kahama ndio inaenda kuwa lango la africa mashariki
Ukiwa Rwanda na Burundi miji ya Tanzania wanayoijua ni Dar na Kahama pekee
Leo uje ulinganishe Kahama na Tunduma kweli?
Hiyo si border tuπ€£π
Uzalishaji utanza 2040 πππHakika
Unaijua Tunduma kweli wewe? Miji yote ni Magulio Mimi sipendi Wala siwezi ishi huko ila Gulio la Tunduma ni π₯π₯π₯ππHapo kwa tunduma kuizidi kahama umetupiga changa la macho
Unaongea kwa hisia zako tu
Unaijua kahama wewe
Mwambie akimaliza kutuma vipicha vyake atuoneshe uwanja wa ndege wa tundumaHakika
Mwambie aoneshe view kama hii kwa Mbeya! Hawezi kuipata miaka 50 ijayo!Mwambie akimaliza kutuma vipicha vyake atuoneshe uwanja wa ndege wa tunduma
Unaijua Mbeya vizuri wewe kweli?Mwambie aoneshe view kama hii kwa Mbeya! Hawezi kuipata miaka 50 ijayo!View attachment 2971123