Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwa jambo hili hakika Arusha wapo vizuri na sisi Mwanza tunatakiwa kujifunza wao wamefanyaje kuongeza mapato mara mbili zaidi ya mapato ya awali.
Utalii mkuu umeamka kwa spidi ya ajabu nlikua arusha juzi gari za utalii cruser hadi zinasababisha foleni mwanza airport ikikamilika hata nyie mtafaidika
 
Utalii mkuu umeamka kwa spidi ya ajabu nlikua arusha juzi gari za utalii cruser hadi zinasababisha foleni mwanza airport ikikamilika hata nyie mtafaidika
Watalii wa wapi hao wa kwenda Mwanza?

Kazi nzuri ya Mama na hapo tunselekea msimu wa Utalii yaani peak season.

Mwanza ni Mkoa maskini sana ,hakuna mzunguko wa hela,kumejaa maskini na Ardhi finyu na imejaa mawe.
 
Hutaki kuwafariji kabisa๐Ÿ˜€
Mwanza ni Mkoa wa hovyo sana ,umejaa maskini.

Angalia licha ya kuwa Mkoa una Jiji na Manispaa na Kwa pamoja kuna wakazi zaidi ya Milioni 1 lakini imezidiwa Mapato na Arusha.

Tuliwaambia Mwanza ni Jiji la maskini na Halina fursa wanatoa mapovu.Kiko wapo Sasa ๐Ÿคช๐Ÿคช
Screenshot_20240416-211946.jpg
Screenshot_20240416-210701.jpg
Screenshot_20240416-212549.jpg
 
We kweli chizi ...unavyoandika mwanza cc una maana Gani Kwan ilemela na nyamagana ni halmashauri Moja?
Nikiwagawanyisha mtachekwa na kuabishwa zaidi.

Just imagine Mbeya CC inakusanya pesa nyingi kushinda Mwanza CC,so Ili kuwasaidia kuficha aibu najumlisha Mwanza CC na Ilemela CC ndio mnapata hiyo total lakini Mko nyumba ya Arusha CC.

Nikabidili Uzi wawacheke? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hapo lakini hujajumuisha na ilemela mc
Hiyo ni summary ya Mapato ya Halmashauri zote Mkoa wa Mwanza Kwa Kila Moja na ilichokusanya.

Kule nimejumlisha Kwa sababu kuwafichia Mwanza aibu maana nikiyenganisha wangekuwa wa mwisho huko hata Mbeya ingekuwa Juu Yao.

Mwisho Ili wasijiskie aibu na Kwa vile Ilemela MC na Mwanza CC ni maeneo ya Mjini hapo hapo ni vyema kujumlisha kama Dar ilivyo.
 
Hapo kwa tunduma kuizidi kahama umetupiga changa la macho
Unaongea kwa hisia zako tu
Unaijua kahama wewe
 
Hapo kwa tunduma kuizidi kahama umetupiga changa la macho
Unaongea kwa hisia zako tu
Unaijua kahama wewe
Mkoa wa shinyanga ni wa nne kwa kutumia umeme mwingi Tanzania na mchango mkubwa unatoka kahama
Kahama inaenda kupitiwa na sgr pale isaka
Kahama ndio inaenda kuwa lango la africa mashariki
Ukiwa Rwanda na Burundi miji ya Tanzania wanayoijua ni Dar na Kahama pekee
Leo uje ulinganishe Kahama na Tunduma kweli?
Hiyo si border tu๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…
 
Hakika
 
Huoni kwamba una shida kichwani? Tunduma ni lango la SADC yote sio lango la Burundi na Rwanda Kama Kahama ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Mapato ya Ndani Tunduma 12.bln vs Kahma 10 bln

Mapato ya TRA Tunduma(Songwe) 130 bln vs Kahama 34.

Dry Port and Special Economic zone for Tunduma ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C58i2HCtKSd/?igsh=cGoxbmJtcG0xdndt
 
Hapo kwa tunduma kuizidi kahama umetupiga changa la macho
Unaongea kwa hisia zako tu
Unaijua kahama wewe
Unaijua Tunduma kweli wewe? Miji yote ni Magulio Mimi sipendi Wala siwezi ishi huko ila Gulio la Tunduma ni ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C58gKW9NrAG/?igsh=MW92aDNxa3c0dmk3OQ==

Usilinganishe Tunduma na Hilo Gulio la Kahama ambalo limezisiws Mapato Hadi na Tarime DC๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/C5ox_E5tODk/?igsh=MTRuaXB0dnc4Y2FzZg==
 
Back
Top Bottom