The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Sifanyi marudio zipo humu jukwaani na wewe unajua mumepitwaLeta takwimu sio maneno mengi kama zuchu.
Kila siku ni haka kajengo hakuna view nyingine?Mwanza ni Moja ya Miji ya hovyo sana,yaani hakuna ambae anajihangaisha kwenda kutengeneza video maana hawezi pata views πππ
Arusha is real growing rapidly with many upcoming high rise buildings ππ
View: https://youtu.be/bAsdADHl8WE?si=qy2gCm-m1-VMrb2s
Kajengo gani Hako? Umemsikiliza na kutazama video?Kila siku ni haka kajengo hakuna view nyingine?
Kila jiji lipambane na hali, nawashauri hicho kiwanja wanachojengewa wakigeuze matumizi wapate kilometa 150 za barabara za lami.Wanastahili kulingana na wanachochangia.
Nao wanalalamika Kila siku shida ni Barabara mbovu
Hutu tujengo unatakiwa kushindanisha na majengo ya kule Nzega.Kajengo gani Hako? Umemsikiliza na kutazama video?View attachment 3007530View attachment 3007531View attachment 3007532View attachment 3007533View attachment 3007534View attachment 3007535
Uwanja utaambatana na ujenzi wa km 13 za lami, taarifa ilishawekwa humu.Kila jiji lipambane na hali, nawashauri hicho kiwanja wanachojengewa wakigeuze matumizi wapate kilometa 150 za barabara za lami.
Mwanza ni dormant haikui kabisa ππ.Ona kitu Cha Arusha hapa ππHutu tujengo unatakiwa kushindanisha na majengo ya kule Nzega.
Naona tughorofa na nyumba zenye mabati yenye kutu yaliyozungukwa na vipori vya simbilisi.Kajengo gani Hako? Umemsikiliza na kutazama video?View attachment 3007530View attachment 3007531View attachment 3007532View attachment 3007533View attachment 3007534View attachment 3007535
Baada ya Afcon kuisha, tutaanza kuanikia maindi pamoja na maonyesho ya wadudu.Uwanja utaambatana na ujenzi wa km 13 za lami, taarifa ilishawekwa humu.
Afcon City
Ule sio uwanja ni Kituo Cha UtaliiBaada ya Afcon kuisha, tutaanza kuanikia maindi pamoja na maonyesho ya wadudu.
Kwahiyo sio uwanja tena bali ni chuo cha utalii, hii nchi siamiππππUle sio uwanja ni Kituo Cha Utalii
Wanajenga uwanja ambao utakuwa na meuseum,VIP Lounges,Cultural Tourism Centre,Makumbusho, Shopping Malls nk.Kwahiyo sio uwanja tena bali ni chuo cha utalii, hii nchi siamiππππ
Wewe Arusha ndio hakuna madiniHapana kwenye fursa hapo umekosea, Mwanza wanalima mazao mengi tu, wanafuga, wanavua; wanachimba madin nk
Ukiacha kuvua kipi Kingine Mwanza inazidi Arusha?Hapana kwenye fursa hapo umekosea, Mwanza wanalima mazao mengi tu, wanafuga, wanavua; wanachimba madin nk
Hakuna Mkoa ambao hauna Madini hapa TanzaniaWewe Arusha ndio hakuna madini
Uwe na akili na uelewe components za uwanja,hakuna sehemu Kuna Chuo kimetajwa.Kwahiyo sio uwanja tena bali ni chuo cha utalii, hii nchi siamiππππ
Chuo cha utalii cha arusha kitahamia uwanjani?Uwe na akili na uelewe components za uwanja,hakuna sehemu Kuna Chuo kimetajwa.
ππππ¨ Daily dosage from Arusha ππ
View: https://youtu.be/eoO1KzFNE4s?si=CBEko83H7fKD32d1