The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Sifanyi marudio zipo humu jukwaani na wewe unajua mumepitwaLeta takwimu sio maneno mengi kama zuchu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifanyi marudio zipo humu jukwaani na wewe unajua mumepitwaLeta takwimu sio maneno mengi kama zuchu.
Mwanza ni Moja ya Miji ya hovyo sana,yaani hakuna ambae anajihangaisha kwenda kutengeneza video maana hawezi pata views 😂😂😂
Arusha is real growing rapidly with many upcoming high rise buildings 👇👇
View: https://youtu.be/bAsdADHl8WE?si=qy2gCm-m1-VMrb2s
Kajengo gani Hako? Umemsikiliza na kutazama video?Kila siku ni haka kajengo hakuna view nyingine?
Kila jiji lipambane na hali, nawashauri hicho kiwanja wanachojengewa wakigeuze matumizi wapate kilometa 150 za barabara za lami.Wanastahili kulingana na wanachochangia.
Nao wanalalamika Kila siku shida ni Barabara mbovu
Hutu tujengo unatakiwa kushindanisha na majengo ya kule Nzega.Kajengo gani Hako? Umemsikiliza na kutazama video?View attachment 3007530View attachment 3007531View attachment 3007532View attachment 3007533View attachment 3007534View attachment 3007535
Uwanja utaambatana na ujenzi wa km 13 za lami, taarifa ilishawekwa humu.Kila jiji lipambane na hali, nawashauri hicho kiwanja wanachojengewa wakigeuze matumizi wapate kilometa 150 za barabara za lami.
Mwanza ni dormant haikui kabisa 😆😆.Ona kitu Cha Arusha hapa 👇👇Hutu tujengo unatakiwa kushindanisha na majengo ya kule Nzega.
Naona tughorofa na nyumba zenye mabati yenye kutu yaliyozungukwa na vipori vya simbilisi.Kajengo gani Hako? Umemsikiliza na kutazama video?View attachment 3007530View attachment 3007531View attachment 3007532View attachment 3007533View attachment 3007534View attachment 3007535
Baada ya Afcon kuisha, tutaanza kuanikia maindi pamoja na maonyesho ya wadudu.Uwanja utaambatana na ujenzi wa km 13 za lami, taarifa ilishawekwa humu.
Afcon City
Ule sio uwanja ni Kituo Cha UtaliiBaada ya Afcon kuisha, tutaanza kuanikia maindi pamoja na maonyesho ya wadudu.
Kwahiyo sio uwanja tena bali ni chuo cha utalii, hii nchi siami😂😂😂😂Ule sio uwanja ni Kituo Cha Utalii
Wanajenga uwanja ambao utakuwa na meuseum,VIP Lounges,Cultural Tourism Centre,Makumbusho, Shopping Malls nk.Kwahiyo sio uwanja tena bali ni chuo cha utalii, hii nchi siami😂😂😂😂
Wewe Arusha ndio hakuna madiniHapana kwenye fursa hapo umekosea, Mwanza wanalima mazao mengi tu, wanafuga, wanavua; wanachimba madin nk
Ukiacha kuvua kipi Kingine Mwanza inazidi Arusha?Hapana kwenye fursa hapo umekosea, Mwanza wanalima mazao mengi tu, wanafuga, wanavua; wanachimba madin nk
Hakuna Mkoa ambao hauna Madini hapa TanzaniaWewe Arusha ndio hakuna madini
Uwe na akili na uelewe components za uwanja,hakuna sehemu Kuna Chuo kimetajwa.Kwahiyo sio uwanja tena bali ni chuo cha utalii, hii nchi siami😂😂😂😂
Uwe na akili na uelewe components za uwanja,hakuna sehemu Kuna Chuo kimetajwa.
📌📌📌🔨 Daily dosage from Arusha 👇👇
View: https://youtu.be/eoO1KzFNE4s?si=CBEko83H7fKD32d1