Huyo unayemwita uchwara katupa karibu kila kitu ukitoa barabara tu na vyuoMumshukuru sana Mama,amewapa miradi Mingi kuliko yule Shujaa wenu uchwara
Naona viota vipya vinaanza kusimama 😂 😂 😂 😂Huyo unayemwita uchwara katupa karibu kila kitu ukitoa barabara tu na vyuo
Sgr
Stendi mbili
Soko kuu
Meli kubwa
Daraja la jpm
Ukarabati wa kiwanja cha ndege
Dual carriage airport road....
Soko kuu Mwanza👇
View attachment 3102118
Huyo shujaa uchwara akajenga jengo la kisasa hospitali ya mkoa👇Mumshukuru sana Mama,amewapa miradi Mingi kuliko yule Shujaa wenu uchwara
Kajengo kamoja? Nako hakumaliza 😂😂Huyo shujaa uchwara akajenga jengo la kisasa hospitali ya mkoa👇View attachment 3102121
Bro wasamehe Sasa maana hawajui walitendalo mkuu chonde chonde walidhani mwanza ni ya kawaida kaka wasemehe Sasa 😂 🤣 🤣 🤣 😂Bugando bado wanaongeza viota👇
View attachment 3102123
Huku viota sio kuuliza kila mwezi maghorofa mapya 20 yanajengwaNaona viota vipya vinaanza kusimama 😂 😂 😂 😂
Unashika mkia wa mbwa unauliza mkundu upo wapi, huko kuna hizi barabara👇👇Kajengo kamoja? Nako hakumaliza 😂😂
Ndio kawaacha na hayo mabanda ya nguruwe hakuna hata Barabara za kwenda huko
Onyesha Barabara zikikatisha kwenye yale mabanda yenuUnashika mkia wa mbwa unauliza mkundu upo wapi, huko kuna hizi barabara👇👇
View attachment 3102152
Hizi hapa zinazokatisha hukoOnyesha Barabara zikikatisha kwenye yale mabanda yenu
Onyesha Barabara zikikatisha kwenye yale mabanda yenu
Hii ikijengwa Arusha napo patabadilika sana.Tujikumbushe haka ka dude
View attachment 3102168
Endeleeni kukaririshwa na machalii.Mwanza Ipo juu kuliko Arusha kwenye ukubwa, fursa za kiuchumi, population.Lakini kwa mwonekano downtown Arusha Ina kamvuto kazuri nadhani hali ya hewa nayo inachangia.
Unaokoteza Mitaa mizuri mizuri ndio unaleta 😁😁