Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 6,976
- 7,726
Huyo unayemwita uchwara katupa karibu kila kitu ukitoa barabara tu na vyuoMumshukuru sana Mama,amewapa miradi Mingi kuliko yule Shujaa wenu uchwara
Sgr
Stendi mbili
Soko kuu
Meli kubwa
Daraja la jpm
Ukarabati wa kiwanja cha ndege
Dual carriage airport road....
Soko kuu Mwanza👇