Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mumshukuru sana Mama,amewapa miradi Mingi kuliko yule Shujaa wenu uchwara
Huyo unayemwita uchwara katupa karibu kila kitu ukitoa barabara tu na vyuo
Sgr
Stendi mbili
Soko kuu
Meli kubwa
Daraja la jpm
Ukarabati wa kiwanja cha ndege
Dual carriage airport road....

Soko kuu Mwanza👇
IMG-20240906-WA0019.jpg
 
Mwanza Ipo juu kuliko Arusha kwenye ukubwa, fursa za kiuchumi, population.Lakini kwa mwonekano downtown Arusha Ina kamvuto kazuri nadhani hali ya hewa nayo inachangia.
 
Mwanza Ipo juu kuliko Arusha kwenye ukubwa, fursa za kiuchumi, population.Lakini kwa mwonekano downtown Arusha Ina kamvuto kazuri nadhani hali ya hewa nayo inachangia.
Endeleeni kukaririshwa na machalii.
 
Back
Top Bottom