Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Endeleeni kukaririshwa na machalii.
Huo ni mtazamo wangu.. Uzuri kwangu siyo ukubwa wa jiji no, hata hali ya hewa kwangu ni moja ya kigezo..
Nikiambiwa nichague kuishi kati ya Dar na Arusha ntachagua Arusha, kati ya Mwanza na Arusha ntachagua Arusha..si kwasababu Arusha Ina skyscrapers nyingi,la hasha.. Hali ya hewa ni nzuri zaidi Arusha kuliko hayo majiji mengine.
 
Naheshimu maamuzi yako mkuu๐Ÿ™
Lakini kama unataka kutajirika njoo Mwanza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Naheshimu maamuzi yako mkuu๐Ÿ™
Lakini kama unataka kutajirika njoo Mwanza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Upo sahihi..tangu nifike Mwanza sijaona utofauti na Dar kimishemishe...Kwakweli Arusha labda uichanganye na Moshi ndiyo iifikie Mwanza..huo ni ukweli kwa mzani wangu wa ukweli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚..
Arusha kama hujaajiriwa/ Kujiajiri kwenye sekta ya utalii utasubiri sana,kitu ambacho kwa Mwanza SI hivyo...
 
Hakika na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, ubarikiwe jemedari.
 
Asante Dr musukuma kasheku
 
Hapa naona visual effect tu sioni kitu, ukimaliza ongeza na picha za Dodoma, Iringa adi huko kwenu Sumbuwanga.
Mwanza ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20240924-091136.png
    1.1 MB · Views: 2
  • Screenshot_20240924-091142.png
    1 MB · Views: 3
Hapa ndio Kuna nini Cha maana? ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Mwanza ikashindane na Mbeya sio Arusha
Kaka Mbeya wala si ya kulinganisha na Mwanza hata ndoto ya kufikia Mwanza ilipo kwenu bado miaka mingi sana wakati huo Mwanza itakuwa kama Dar ya sasa!
 
Kaka Mbeya wala si ya kulinganisha na Mwanza hata ndoto ya kufikia Mwanza ilipo kwenu bado miaka mingi sana wakati huo Mwanza itakuwa kama Dar ya sasa!
Mbeya hakuna mradi wa majengo ya serikali ni wapambanaji tupu ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DAY_dwkoMnr/?igsh=cWR6cGdudnE1anp6
Mwisho Mwanza Ina kipi Cha kuzidi Mbeya?

Kwa taarifa Yako tuu Kwa Sasa Mbeya (Chunya) ukiacha Madini na Pamba ndio mzalishaji Mkuu wa Tumbaku namba 2 Tanzania baada ya Tabora.

View: https://youtu.be/peb_SKnv_eE?si=h5Rc4ryAfY4WeRGZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ