Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Liberty street kiota cha 10+f
IMG-20240915-WA0124.jpg
 
Endeleeni kukaririshwa na machalii.
Huo ni mtazamo wangu.. Uzuri kwangu siyo ukubwa wa jiji no, hata hali ya hewa kwangu ni moja ya kigezo..
Nikiambiwa nichague kuishi kati ya Dar na Arusha ntachagua Arusha, kati ya Mwanza na Arusha ntachagua Arusha..si kwasababu Arusha Ina skyscrapers nyingi,la hasha.. Hali ya hewa ni nzuri zaidi Arusha kuliko hayo majiji mengine.
 
Naheshimu maamuzi yako mkuu🙏
Lakini kama unataka kutajirika njoo Mwanza😂😂😂
 
Upo sahihi..tangu nifike Mwanza sijaona utofauti na Dar kimishemishe...Kwakweli Arusha labda uichanganye na Moshi ndiyo iifikie Mwanza..huo ni ukweli kwa mzani wangu wa ukweli 😂😂😂😂..
Arusha kama hujaajiriwa/ Kujiajiri kwenye sekta ya utalii utasubiri sana,kitu ambacho kwa Mwanza SI hivyo...
 
Hakika na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, ubarikiwe jemedari.
 
Nani hajapata jibu?

Mwanza sio ya kuilinganisha na vimji vya ajabu ajabu kama Arusha.

Mwanza inakimbizana na Dar kwenye kila kitu, miundombinu, mapato, wingi wa watu, uchangamfu, starehe, watoto wazuri, vyuo, nk. Muwe mnasoma hata takwimu/taarifa za serikali zinatolewa kila mara kuonyesha Mwanza is untouchable.

Arusha ilinganisheni na Kahama ama Musoma sio Mwanza ni kuivunjia heshima Mwanza.
Asante Dr musukuma kasheku
 
Hapa ndio Kuna nini Cha maana? 🚮🚮🚮

Mwanza ikashindane na Mbeya sio Arusha
Kaka Mbeya wala si ya kulinganisha na Mwanza hata ndoto ya kufikia Mwanza ilipo kwenu bado miaka mingi sana wakati huo Mwanza itakuwa kama Dar ya sasa!
 
Mbeya hakuna mradi wa majengo ya serikali ni wapambanaji tupu 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DAY_dwkoMnr/?igsh=cWR6cGdudnE1anp6

Mwisho Mwanza Ina kipi Cha kuzidi Mbeya?

Kwa taarifa Yako tuu Kwa Sasa Mbeya (Chunya) ukiacha Madini na Pamba ndio mzalishaji Mkuu wa Tumbaku namba 2 Tanzania baada ya Tabora.

View: https://youtu.be/peb_SKnv_eE?si=h5Rc4ryAfY4WeRGZ
 
Back
Top Bottom