Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

View attachment 3126830View attachment 3126832
Mkataba wa ujenzi wa soko la kisasa kirumba wasainiwa . ujenzi huu utahusisha pia ujenzi wa km 3 za lami
View attachment 3126822View attachment 3126829mkataba wa ujenzi wa soko la kisasa la samaki mkuyuni.umesainiwaView attachment 3126823
Samia ameipendelea Mwanza kuliko Shujaa wenu,huu ni ukweli mchungu 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBMMLEXoqjq/?igsh=OGthdjg3MGdrb2k0
 
Toa maelezo basi ,mapicha picha ni option ya mwisho kama maelezo hayajaeleweka
Soko lishabomolewa . lilikuwa soko la bidhaa la zamani lijulikanalo kama kirumba kati ...lipo jirani na furahisha ndio wanajenga lingine pamoja na barabara za mitaa 10 zinazoelekea kwenye Hilo soko kama inavyonekana kwenye picha hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20241016-205801_1.jpg
    347.9 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…