Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataanza kusema hii ni michoro na sio picha halisi, nami nawaambia hapo sio zurich bali ni Mwanza, Tanzania😍❤❤❤❤[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2467273View attachment 2467274View attachment 2467275
Acha wenge la bangi na mirungi basi kama huna Cha kuandika Kaa kimya. Arusha mna ujanja Gani acha kutushobikea bhana. Kwanza ndo mbwa wetu mnaolinda nyumba zetu. Dada zenu ni bar maids kila Kona wanafanya kubadilishwa kila mwezi acha utahira unless kama nabishana na juha au pwagu pro max.Waskuma mna shida sana. Nyie kaeni kwa kutulia tu. Nyie sio watu wa mjini na hamuwezi kuitwa watu wa mjini kamwe. Ukishatamka unatoka mwanza tu, unatolewa vyeo vyote. Unaonekana mlugaluga, mshamba. Wakufunzwa.
Bro mi Nalala endelea kumalizia kuwachinja maana wanakata roho [emoji28][emoji28][emoji28]Wataanza kusema hii ni michoro na sio picha halisi, nami nawaambia hapo sio zurich bali ni Mwanza, Tanzania[emoji7][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Hizi umenda mbali sana umezidi ata dose ya kawaida hii ni lethal dose si size yao hii, nawaombea msamaha uwapunguzie dose.Public facilities
Tunaanza na bridges and flyover
[emoji116][emoji116]
View attachment 2467294View attachment 2467295View attachment 2467296View attachment 2467297View attachment 2467298
Washajifia wafe mara ngapi? Game kwishnei.Bro mi Nalala endelea kumalizia kuwachinja maana wanakata roho [emoji28][emoji28][emoji28]
Iyo ni footbridge sio flyover wewePublic facilities
Tunaanza na bridges and flyover
[emoji116][emoji116]
View attachment 2467294View attachment 2467295View attachment 2467296View attachment 2467297View attachment 2467298
Sasa mnataka arusha kue na daraja la kuvuka wapi?Hizi umenda mbali sana umezidi ata dose ya kawaida hii ni lethal dose si size yao hii, nawaombea msamaha uwapunguzie dose.
Pedestrian flyover..no more explanationIyo ni footbridge sio flyover wewe
Si mna ziwa duluTi hapo au hulijui [emoji28][emoji12][emoji12][emoji12]Sasa mnataka arusha kue na daraja la kuvuka wapi?
Acha kuremba lugha iyo ni footbridge hapa Dar ziko kibao na shangaa iyo moja hapo mwanza inavyowasumbuaPedestrian flyover..no more explanation
Tayari umeanza kulia liaUkiangalia mwanza utagundua hivyo vighorofa uchwara ni vya juzi tena enzi za mwendazake, ndio maana wana wenge sana, hawajazoea yani. Mi naogopa Arusha wakija wenyewe hasa wale. Mwanza will be pulverised, mwanza jamani mjivunie kuzaliana tu. Mambo ya urbanisation, class, waachieni Arusha. Hakuna mtu anawawaza mwanza yani. Kaleni mapanki sasa. Mmeshindwa kupangua report ya NBS kuhusu idadi ya maghorofa, mmeshindwa kupangua list ya maghorofa marefu Tanzania, mpompo tu. Embu tafuteni ligi na Singida au iringa. By the way mji wa moshi umewazidi pia. Pua, pua.
Leta ya Arusha dar haihusiki hapaAcha kuremba lugha iyo ni footbridge hapa Dar ziko kibao na shangaa iyo moja hapo mwanza inavyowasumbua
Ware house ileMikdde hawana vitu hao wameishiwa, naona wameweka ka mall kao, wamalize na rock city mall, then nenda houses za bwiru, nyasaka, mwanchi, isamilo, capripoint tumalize mpira kwa ushindi mnono.
Unatafuta excuse...hapa sio mwanza vs dar ....,,,kiherehere chote kwishneyAcha kuremba lugha iyo ni footbridge hapa Dar ziko kibao na shangaa iyo moja hapo mwanza inavyowasumbua
Makongoro avenueTengeru sakina Highway dualcarriage way 14Km ,tuonyeshe barabara kama hii ama bora zaidi ya hii mwanza View attachment 2467302View attachment 2467303