Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Public facilities
Tunaanza na bridges and flyover
[emoji116][emoji116]
 
Waskuma mna shida sana. Nyie kaeni kwa kutulia tu. Nyie sio watu wa mjini na hamuwezi kuitwa watu wa mjini kamwe. Ukishatamka unatoka mwanza tu, unatolewa vyeo vyote. Unaonekana mlugaluga, mshamba. Wakufunzwa.
Acha wenge la bangi na mirungi basi kama huna Cha kuandika Kaa kimya. Arusha mna ujanja Gani acha kutushobikea bhana. Kwanza ndo mbwa wetu mnaolinda nyumba zetu. Dada zenu ni bar maids kila Kona wanafanya kubadilishwa kila mwezi acha utahira unless kama nabishana na juha au pwagu pro max.
 
Wataanza kusema hii ni michoro na sio picha halisi, nami nawaambia hapo sio zurich bali ni Mwanza, Tanzania[emoji7][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Bro mi Nalala endelea kumalizia kuwachinja maana wanakata roho [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hizi umenda mbali sana umezidi ata dose ya kawaida hii ni lethal dose si size yao hii, nawaombea msamaha uwapunguzie dose.
Sasa mnataka arusha kue na daraja la kuvuka wapi?
 
Tayari umeanza kulia lia
 
Mikdde hawana vitu hao wameishiwa, naona wameweka ka mall kao, wamalize na rock city mall, then nenda houses za bwiru, nyasaka, mwanchi, isamilo, capripoint tumalize mpira kwa ushindi mnono.
Ware house ile
 
Acha kuremba lugha iyo ni footbridge hapa Dar ziko kibao na shangaa iyo moja hapo mwanza inavyowasumbua
Unatafuta excuse...hapa sio mwanza vs dar ....,,,kiherehere chote kwishney
Makongoro avenue 10 km [emoji116]
 

Attachments

  • JamiiForums548975812_1.jpg
    77.4 KB · Views: 6
Hata dodoma ni kiboko kuna mabuyu zabibu karanga nk mndobishana hamjitambui ila kila mkoa unasifa yake, navyo juwa kwenye wazungu wengi ndiyo pazuri ukibisha shauri yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…