Majiji Tanzania in descending order.
1. Dar es Salaam
2.Arusha
Haya ndio majiji proper kwa hadhi za kimataifa. Yenye kila kitu kinacholifanya jiji kuwa la kimataifa. Haya yanayofata ni upcoming. Yaliharakishwa kisiasa tu. Mwanza ni idadi kubwa tu ya watu ndio inawaweka hapo, lakini haiwezi ku accomodate delegation ya rais wala hakuna kiongozi wa Developed country amewahi kwenda na kulala mwanza, sababu zipo wazi. Pia eneo la jiji wamechukuwa wilaya ambazo kimsingi hazikupaswa ata kuingizwa pale.
3. Dodoma
4. Mwanza
5. Tanga
6. Mbeya