Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ongea yote .ila mwisho wenu ni hapa[emoji116]
 
Ngoja nirekebishe list yako[emoji28]
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Stone town, Zanzibar
4. Arusha
5. Dodoma
6. Tanga
7. Mbeya
 
Ngoja nirekebishe list yako[emoji28]
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Stone town, Zanzibar
4. Arusha
5. Dodoma
6. Tanga
7. Mbeya
Haha, niliisahau zanzibar, ipo baada ya Arusha, mwanza itakuwa ya 4 au sio? Ndio maana ata kwa umaarufu duniani imeingia zanzibar na arusha ila sio big village waliolala.
 
[emoji91][emoji91]
 
Nakukubali sana Mtu wangu kwanza Huna papala, pili unajenga hoja, tatu unamsoma mtu kwanza be4 hujamjibu nmejikuta kila nikiingia JamiiForums lazima nipitie comment yako ili nipanue uelewa zaidi
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]na appreciate pia mchango wako mkuu .
 
Nakukubali sana Mtu wangu kwanza Huna papala, pili unajenga hoja, tatu unamsoma mtu kwanza be4 hujamjibu nmejikuta kila nikiingia JamiiForums lazima nipitie comment yako ili nipanue uelewa zaidi
Papala🤣🤣
 
Kawaida tu kama Arusha
Mmezidiwa majengo, angalia density ya majengo na hapo ni kasehemu tu, kitakwimu kikila kitu.
Huu mjadala ufungwe tu waskuma nyie mnachoweza kuuana na kujiua kisa mapenzi na uchawi. Mengine waachieni watoto wa mjini Dar na Arusha.
 
Before sijafika Arusha story kibao nlizisikia but nlipotia mguu wangu, ipo overrated sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…