Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mr tuusan [emoji116]
Soon tutawanyan'ganya hiyo status ya tourist destination city .
[emoji116]
Rock bay resort View attachment 2482080View attachment 2482081View attachment 2482082View attachment 2482083
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Amakweli we boya sasa mwanza itakuwa vipi tourists destination yani kivipi kwa mfano. Hivi swali jepesi mwanza Kuna 5star Hotels na 7star Hotels ngapi? Kuna mbuga ngapi hahaha hiyo route ya kuingia Serengeti kupitia mwanza yenyewe haina mvuto. Unajua tuachane na ushabiki mavi Yani mwanza kuipiku Arusha au mkoa wowote kuipiku Arusha kitalii ni ndoto za abunuasi. Arusha ni Tourism Capital na East Africa Community capitaland Headquarters nukuu neno Tourism Capital na East Africa Community Capital(Makao makuu ya Jumuiya ya Africa Mashariki), Dar es Salaam ni business capital sasa mwanza sijui ni fishing capital au lake capital I don't fucking know. Ila Kama hujui basi jua hilo.
 
Mwanza inaweza isiwe Tourism Capital ila ukatae ukubali Mwanza ni Business Capital kubwa kuzidi Arusha! Angalia hata safari za local flight mwanza inazo nyingi kuzidi KIA! N a kwa taarifa yako uwanja ukishakuwa na certificate ya International mtapambana nayo sana tu! Maana ukumbuke hata kwenye international flight nyinyi ni wa tatu, ya kwanza Abeid international Airport Zanzibar ya pili ni Julius International Airport Dar! Ila mlivyo na kelele sasa!
 
Kibiashara mnatuzidi kulingana na eneo mji ulipo hilo mi nakubali,ila uzuri wa mji kwa maana ya majengo barabara madhari hamgusi Arusha

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Idara iyo Sahau kabisa
Mnaweza kutuzidi mambo mengine ila suala hilo Futa kwenye akili Yako
Kujifariji ni jambo jema sana ....ila promotion na uwekezaji uliopo kwenye accomodations Kwa sasa huku city ...ndani ya miaka mitano ni habari nyingine kabisa....
By the way hamjawahi izidi Zanzibar Kwa utalii na watalii.and that's so .....hyo Gran melia isiwatie kiwewe
 
Kila walati mnasogeza miaka 5 mbele mnafikiri ndio Arusha kumelala?[emoji2][emoji2][emoji2]



Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Eti tourism capital.mara east Africa capital...utaita majina yote [emoji116]
Mwanza tourism is booming
 
Kwani Arusha Kuna mbuga ipi nawe kibwengo unapayuka tu kama fala. Unasifu kijinga jinga sana. Sehemu za utalii zipo Kilimanjaro, manyara na mara. Majisifa kama toto la mwisho kuzaliwa.
 
Haya madini hawayajui. Huoni hata ongea Yao wanaiga lafudhi ya wakenya. Halafu utawasikia wanasema nyoko nyoko na mimeno YaoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. A joke...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…