Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Naona unatembea na kifigure hiki Kila siku ndio kinachokufariji... MBEYA is far ahead kibiashara kuliko huko muriet...
[emoji116][emoji116]
Mngekuwa mna biashara tungewaona kwenye hii listView attachment 2513013
Hata iyo gdp tukigawa per capita bado mnapigwa na Kilimanjaro [emoji2][emoji2][emoji23]

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Arusha inaitesa sana Mwanza kwenye mapato. Na hapo Arusha ina nusu tu ya watu kulinganisha na Mwanza. Pia hilo mkoa wa Kilimanjaro kuupita ule wa Mwanza linafikirisha sana.
Wakati unaendelea kujifariji,,,agiza castle light ya baridi ushushie na hiki[emoji116][emoji28]
20230131_133621.jpg
 
Arusha inaitesa sana Mwanza kwenye mapato. Na hapo Arusha ina nusu tu ya watu kulinganisha na Mwanza. Pia hilo mkoa wa Kilimanjaro kuupita ule wa Mwanza linafikirisha sana.
Watu wa kilimanjaro wanakazi mbili hadi tatu,mtu analima anafuga na ana duka,duka analipa kodi kwa mwaka na mifugo analipa ushuru akiuza, mtu huyohuyo atahakikisha lazima awe na gari yake kwahyo akinunua mafuta serikali unakusanya kodi pia.
Ogopa watu wapambanaji....
Huko mwanza bado wanalima na wanafuga tu basi iyo kodi mnaisikia kwenye radio tu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Wakati unaendelea kujifariji,,,agiza castle light ya baridi ushushie na hiki[emoji116][emoji28]View attachment 2513020
Iko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.

Mwanza ilitakiwa iwe walau nusu ya Dar lakini wapi bado tu wanakimbizwa na vimikoa vyenye idadi ya watu nusu kulinganisha nayo
 
Bado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengi
.tukija kwenye population mwanza watu 3.6M
Kilimanjaro hawafiki 1.8M bado ukikokotoa hamna kitu nyie,ilibidi mue na zaidi ya 12Trillions ndio mue sawa na sisi
IMG-20221031-WA0219%20(1).jpg

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Iko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.

Mwanza ilitakiwa iwe walau nusu ya Dar lakini wapi bado tu wanakimbizwa na vimikoa vyenye idadi ya watu nusu kulinganisha nayo
Na sasahivi Utalii umerudi kama 2019 kwahyo watu wanaendelea kustawi sana pande zile...hivi wanajua mwaka huu inajengwa dualcarriage way kutoka tengeru hadi moshi? Hata infrastructure tunawapiga KO Soon

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Bado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengi
.tukija kwenye population mwanza watu 3.6M
Kilimanjaro hawafiki 1.8M bado ukikokotoa hamna kitu nyie,ilibidi mue na zaidi ya 12Trillions ndio mue sawa na sisiView attachment 2513029

Kwa kifupi Mwanza kuna raia wengi sana mizigo. Uzalishaji wao hauna tija
 
Iko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.

Mwanza ilitakiwa iwe walau nusu ya Dar lakini wapi bado tu wanakimbizwa na vimikoa vyenye idadi ya watu nusu kulinganisha nayo
Unatakiwa uwe mfatiliaji na sio msikilizaji vijiweni...angalia ARUSHA alivyodrop per Capita income...na uangalie Mwanza ilivyorise Hadi kumfikia ARUSHA [emoji116]
now ARusha inaizidi mwanza elfu 33 tu kwenye per Capita income
20230104_210423.jpg
 
Iko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.

Mwanza ilitakiwa iwe walau nusu ya Dar lakini wapi bado tu wanakimbizwa na vimikoa vyenye idadi ya watu nusu kulinganisha nayo
Aliyekuambia GDP ya dar imejengwa na population nani ,,,,GDP ya dar imejengwa na public Investment iliyopo huko ..
By the way kama unaumia sana jipoze na hiki [emoji116]
Screenshot_20230123-220316.jpg
 
Unatakiwa uwe mfatiliaji na sio msikilizaji vijiweni...angalia ARUSHA alivyodrop per Capita income...na uangalie Mwanza ilivyorise Hadi kumfikia ARUSHA [emoji116]
now ARusha inaizidi mwanza elfu 33 tu kwenye per Capita income View attachment 2513035
Watalii wamerudi kibao sahv andikeni maumivu,bei ya ndizi nayo imerudi kama zamani tija ipo...
Kitu pekee mnatakiwa kujua ni kwamba Mbadilike na muache kilimo ha mkono

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Bado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengi
.tukija kwenye population mwanza watu 3.6M
Kilimanjaro hawafiki 1.8M bado ukikokotoa hamna kitu nyie,ilibidi mue na zaidi ya 12Trillions ndio mue sawa na sisiView attachment 2513029

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwani GDP ya sa hv ni trillion ngapi..acha kujitoa akili bas
 
Back
Top Bottom