Kilimanjaro inakusanya kodi kibwa kuliko Mwanza[emoji2][emoji2][emoji23] Mwanza ni kijiji bana hakuna jiji hapoKuna biashara Chuga,nyie pagaweni na ziwa tuView attachment 2513010
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hata iyo gdp tukigawa per capita bado mnapigwa na Kilimanjaro [emoji2][emoji2][emoji23]Naona unatembea na kifigure hiki Kila siku ndio kinachokufariji... MBEYA is far ahead kibiashara kuliko huko muriet...
[emoji116][emoji116]
Mngekuwa mna biashara tungewaona kwenye hii listView attachment 2513013
Mbona Moshi sio JijiKilimanjaro inakusanya kodi kibwa kuliko Mwanza[emoji2][emoji2][emoji23] Mwanza ni kijiji bana hakuna jiji hapo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Vip per Capita mbona iringa inawahenyesha [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]au niletee figure hapaHata iyo gdp tukigawa per capita bado mnapigwa na Kilimanjaro [emoji2][emoji2][emoji23]
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Ila sio mwanzaVip per Capita mbona iringa inawahenyesha [emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]au niletee figure hapa
Hapo Shinyanga ni migodi tuu hiyo ya Wazungu ila Kwa raia wako hopeless kabisa kwenye mabanda hukoNa arusha wamekalia msumali wa shinyanga
Moshi sio lazima iwe jiji,population yake ni ndogo na eneo lake ni dogo, ila panauchumi mkubwa ajabuMbona Moshi sio Jiji
[emoji28][emoji28]
Arusha inaitesa sana Mwanza kwenye mapato. Na hapo Arusha ina nusu tu ya watu kulinganisha na Mwanza. Pia hilo mkoa wa Kilimanjaro kuupita ule wa Mwanza linafikirisha sana.Kuna biashara Chuga,nyie pagaweni na ziwa tuView attachment 2513010
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wakati unaendelea kujifariji,,,agiza castle light ya baridi ushushie na hiki[emoji116][emoji28]Arusha inaitesa sana Mwanza kwenye mapato. Na hapo Arusha ina nusu tu ya watu kulinganisha na Mwanza. Pia hilo mkoa wa Kilimanjaro kuupita ule wa Mwanza linafikirisha sana.
Watu wa kilimanjaro wanakazi mbili hadi tatu,mtu analima anafuga na ana duka,duka analipa kodi kwa mwaka na mifugo analipa ushuru akiuza, mtu huyohuyo atahakikisha lazima awe na gari yake kwahyo akinunua mafuta serikali unakusanya kodi pia.Arusha inaitesa sana Mwanza kwenye mapato. Na hapo Arusha ina nusu tu ya watu kulinganisha na Mwanza. Pia hilo mkoa wa Kilimanjaro kuupita ule wa Mwanza linafikirisha sana.
Ingekuwa ni Migodi ,tungeona Geita,na Mbeya on topHapo Shinyanga ni migodi tuu hiyo ya Wazungu ila Kwa raia wako hopeless kabisa kwenye mabanda huko
Iko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.Wakati unaendelea kujifariji,,,agiza castle light ya baridi ushushie na hiki[emoji116][emoji28]View attachment 2513020
Bado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengiWakati unaendelea kujifariji,,,agiza castle light ya baridi ushushie na hiki[emoji116][emoji28]View attachment 2513020
Na sasahivi Utalii umerudi kama 2019 kwahyo watu wanaendelea kustawi sana pande zile...hivi wanajua mwaka huu inajengwa dualcarriage way kutoka tengeru hadi moshi? Hata infrastructure tunawapiga KO SoonIko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.
Mwanza ilitakiwa iwe walau nusu ya Dar lakini wapi bado tu wanakimbizwa na vimikoa vyenye idadi ya watu nusu kulinganisha nayo
Kwa kifupi Mwanza kuna raia wengi sana mizigo. Uzalishaji wao hauna tijaBado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengi
.tukija kwenye population mwanza watu 3.6M
Kilimanjaro hawafiki 1.8M bado ukikokotoa hamna kitu nyie,ilibidi mue na zaidi ya 12Trillions ndio mue sawa na sisiView attachment 2513029
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Unatakiwa uwe mfatiliaji na sio msikilizaji vijiweni...angalia ARUSHA alivyodrop per Capita income...na uangalie Mwanza ilivyorise Hadi kumfikia ARUSHA [emoji116]Iko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.
Mwanza ilitakiwa iwe walau nusu ya Dar lakini wapi bado tu wanakimbizwa na vimikoa vyenye idadi ya watu nusu kulinganisha nayo
Nguvu nyingi akili kisodaKwa mifupi Mwanza kuna raia wengi sana mizigo. Uzalishaji wao hauna tija
Aliyekuambia GDP ya dar imejengwa na population nani ,,,,GDP ya dar imejengwa na public Investment iliyopo huko ..Iko hivi hii uliyoweka ni GDP ambayo kimsingi bado Mwanza ina perform poorly sababu wanapopulation kubwa kuliko Arusha na Kilimanjaro yet hii mikoa miwili GDP yao ni almost 70% ya ile ya Mwanza. Hii maana yake ukigawanya hiyo GDP kwa Mwanza population watakuwa na raia masikini kuliko hiyo mikoa miwili niyotaja.
Mwanza ilitakiwa iwe walau nusu ya Dar lakini wapi bado tu wanakimbizwa na vimikoa vyenye idadi ya watu nusu kulinganisha nayo
Watalii wamerudi kibao sahv andikeni maumivu,bei ya ndizi nayo imerudi kama zamani tija ipo...Unatakiwa uwe mfatiliaji na sio msikilizaji vijiweni...angalia ARUSHA alivyodrop per Capita income...na uangalie Mwanza ilivyorise Hadi kumfikia ARUSHA [emoji116]
now ARusha inaizidi mwanza elfu 33 tu kwenye per Capita income View attachment 2513035
Kwani GDP ya sa hv ni trillion ngapi..acha kujitoa akili basBado tunarudi palepale Hao watu wachache wa kilimanjaro wanazalisha uchumi mkubwa kuliko nyie wengi
.tukija kwenye population mwanza watu 3.6M
Kilimanjaro hawafiki 1.8M bado ukikokotoa hamna kitu nyie,ilibidi mue na zaidi ya 12Trillions ndio mue sawa na sisiView attachment 2513029
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app