Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Watalii wamerudi kibao sahv andikeni maumivu,bei ya ndizi nayo imerudi kama zamani tija ipo...
Kitu pekee mnatakiwa kujua ni kwamba Mbadilike na muache kilimo ha mkono

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kumbe watalii wote wanatua Arusha [emoji28][emoji28]..watalii watawasaidia kwenye mapato ya TRA ila kwenye GDP mtastruggle...Kwa sabbabu mwanza tayari inazidi kufunguliwa MELI inaelekea kukamilika zao la pamba limerudi on fire ,daraja liko mwishoni kukamilika,, uwekezaji unazidi kuongezeka Kwa hyo be ready.[emoji116]
 
Unatakiwa uwe mfatiliaji na sio msikilizaji vijiweni...angalia ARUSHA alivyodrop per Capita income...na uangalie Mwanza ilivyorise Hadi kumfikia ARUSHA [emoji116]
now ARusha inaizidi mwanza elfu 33 tu kwenye per Capita income View attachment 2513035
Ameizidi au hajaizidi? Ni aibu kujinganisha na mji wenye nusu ya raia wako kwa GDP.

Lini labda Mwanza itaipita Arusha. Covid 19 imeisha nategemea hilo gap la takwimu zijazo Mwanza itakuwa nyuma tu ya Arusha
 
Ameizidi au hajaizidi? Ni aibu kujinganisha na mji wenye nusu ya raia wako kwa GDP.

Lini labda Mwanza itaipita Arusha. Covid 19 imeisha nategemea hilo gap la takwimu zijazo Mwanza itakuwa nyuma tu ya Arusha
Arusha ishapitwa GAP la almost trillion 5 GDP ...,,,,mpitwe nni Tena ...unaleta assumption hapa..huo utalii wako unadhani unaweza fix Hilo gap [emoji28][emoji28][emoji28]......... kukamilika Kwa Mwanza international airport kutaipa homa ya manjano ARusha kwenye market ya utalii
 
Hii ndiyo inajibu hoja yangu mkuu?
Hoja nishakujibu huko[emoji867]juu .... mwanza imeizidi Arusha GDP,,,na Mwaka huu believe me inawazidi per Capita...rejea figure zangu huko juu ...
Kuimarika kwa zao la pamba
Kuanza kwa mgodi wa nyanzaga
kuimarika Kwa sekta uvuvi
Kuboreshw Kwa biashara ya mazao ya choroko na dengu..
Uwekezaji katika miundombinu
Kukua kw sekta ya utalii
 
Hapo Shinyanga ni migodi tuu hiyo ya Wazungu ila Kwa raia wako hopeless kabisa kwenye mabanda huko
Na arusha ni migodi ya Tanzanite tu ndio inatumia umeme lakini reality Singida imewanyea na kuwapumulia visogoni.
 
Haya ndio mambo tunataka kuyaona

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Ukizungumzia mazao Arusha wanalisha Nairobi kitunguu,nyanya,ndizi,carots,ginger,garlic nk...Biashara kati ya Arusha na Nairobi ni kubwa sana

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Mm mwanza nimeishi Arusha pia nimeishi aisee uwezi linganisha Arusha na huo utopolo labda kama mwanza ndiyo pangekuwa ndiyo home kwa mchaga ingekuwa juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…