Sasa shida nini kaka wote sisi watu ya Tz, kwan nn tusiwe wa moja tu.Ndo ujiulize wewe kama mwaarusha unamchango Gani katika mapato ya mkoa. Maana vijana mnakumbilia kuwa matour guide ndo mwajidai wajanja ππππ. Kuna vitu vinafurahisha sana. Pili mmeiga lafudhi ya Kenya na miondoko Yao halafu unakuja kujiita mjanja. Si Bora tujue tu kuwa huo ni ULIMBUKENI. hata hivyo subiria kidogo soko la utalii litakavyokuwa after some years to come.
Kwanni isiwe ,,,,,Kwanin Arusha mlichoizidi mwanza si hotel tu ,....Mimi sio hater,Mwanza haitawah kua tourist destination ya nchi hii kamwe,Arusha and zanzibar takes the lead all day everyday
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Naam na mi napenda hii kitu. Hapo sasa let's move.Sasa shida nini kaka wote sisi watu ya Tz, kwan nn tusiwe wa moja tu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji16]kwahyo hujui arusha inawazidi nnKwanni isiwe ,,,,,Kwanin Arusha mlichoizidi mwanza si hotel tu ,....
Ila potential za utalii mwanza inawazidi,, kuanzia ziwa na ukaribu wake na hifadhi taifa .....
Mwanza inahitaji promotion tu .. mengine yote yanawezekana,,,,View attachment 2518706View attachment 2518707
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay sawa mkuu tuko pamoja ukanda hauna maana wala.Naam na mi napenda hii kitu. Hapo sasa let's move.
Anajifariji tuu,utasikia ooh Kanda ya Ziwa tunaongozwa Kwa Madini na blaa blaa kibao.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji16]kwahyo hujui arusha inawazidi nn
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Leta vitu tangible sio mambo ya kufikirika eti potential [emoji16][emoji16]Kwanni isiwe ,,,,,Kwanin Arusha mlichoizidi mwanza si hotel tu ,....
Ila potential za utalii mwanza inawazidi,, kuanzia ziwa na ukaribu wake na hifadhi taifa .....
Mwanza inahitaji promotion tu .. mengine yote yanawezekana,,,,View attachment 2518706View attachment 2518707
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wew umeleta vitu tangible au na wew umefikiria tu .... figure ziko wapi kuprove kuwa mnatuzidi barabara Kali, mpangilio wa mji na uzuri,, maghorofa marefu,.... nakubaliana na hotel tu ,,,lakin hayo mapato yako ya mchongo yanamezwa na GDP ..Leta vitu tangible sio mambo ya kufikirika eti potential [emoji16][emoji16]
Kila takwimu tukiweka huku Arusha imechapa Mwanza.
Imewazidi yafuatayo
Mahoteli
Barabara Kali
Mapato ya TRA
Magorofa mengi na marefu
Viwanda
Matumizi ya umeme Kitaifa
Uzuri wa Mji na mpangilio
Living Standards
Ustaarabu,Arusha hawanyi ziwanj kama Mwanza
Hayo ni baadhi tuu Kati ya mengi
Umemaliza kila kitu hapa na hizi ndo sifa za second city in the countrySasa wew umeleta vitu tangible au na wew umefikiria tu .... figure ziko wapi kuprove kuwa mnatuzidi barabara Kali, mpangilio wa mji na uzuri,, maghorofa marefu,.... nakubaliana na hotel tu ,,,lakin hayo mapato yako ya mchongo yanamezwa na GDP ..
Mwanza inaizidi Arusha vifuatavyo
1.uchumi na utajiri
2.ukubwa wa mji
3.mwingiliano wa watu
4.mandhari
5.ubora wa mji kwenye huduma zote za msingi (afya,elimu,nk)
6.ubora wa makazi (number of porshy neighborhood)
7.Mapato ya halmashauri
8.Mtandao wa barabara za lami mjini
9 Miradi mikubwa , iconic projects
10.geographical advantage.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau na beaches asee jiji bila pa kupunga upepo na kuongelea sio jiji[emoji23]Umemaliza kila kitu hapa na hizi ndo sifa za second city in the country
Nikitaja beach nitawaonea ,,maana wao wana Kingo za mto [emoji28][emoji28][emoji28]....Umesahau na beaches asee jiji bila pa kupunga upepo na kuongelea sio jiji[emoji23]
Kabisa watu ni kutokujua tu.Okay sawa mkuu tuko pamoja ukanda hauna maana wala.
π π kingo za mito basi sisi tuna river banks.Nikitaja beach nitawaonea ,,maana wao wana Kingo za mto [emoji28][emoji28][emoji28]....
Niwaongezee pia
11. public infrastructure kama footbridges,bus terminalz na market
12 . biggest shopping mall
13.modern and busy Airport
14.hub for major companies like auric air,nyanza roads works ,MSCL ,songoro Marine
15.uwepo wa vyombo vingi vya habari na vikubwa kama redio free,star tv,mahasin tv nk
Sent using Jamii Forums mobile app
BadoNikitaja beach nitawaonea ,,maana wao wana Kingo za mto [emoji28][emoji28][emoji28]....
Niwaongezee pia
11. public infrastructure kama footbridges,bus terminalz na market
12 . biggest shopping mall
13.modern and busy Airport
14.hub for major companies like auric air,nyanza roads works ,MSCL ,songoro Marine
15.uwepo wa vyombo vingi vya habari na vikubwa kama redio free,star tv,mahasin tv nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe boya kweli yaani nirudie figures za mapato ya TRA Kila siku tunaweka, takwimu za magorofa NBS wametoa,Mahoteli na wewe unajua, matumizi ya umeme Arusha namba 4 na wewe unajua nk nk.Sasa wew umeleta vitu tangible au na wew umefikiria tu .... figure ziko wapi kuprove kuwa mnatuzidi barabara Kali, mpangilio wa mji na uzuri,, maghorofa marefu,.... nakubaliana na hotel tu ,,,lakin hayo mapato yako ya mchongo yanamezwa na GDP ..
Mwanza inaizidi Arusha vifuatavyo
1.uchumi na utajiri
2.ukubwa wa mji
3.mwingiliano wa watu
4.mandhari
5.ubora wa mji kwenye huduma zote za msingi (afya,elimu,nk)
6.ubora wa makazi (number of porshy neighborhood)
7.Mapato ya halmashauri
8.Mtandao wa barabara za lami mjini
9 Miradi mikubwa , iconic projects
10.geographical advantage.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Shinyanga ni namba Tatu, ina maanisha shinyanga wapo vizuri kiuchumi na kila kitu kuzidi Arusha?Wewe boya kweli yaani nirudie figures za mapato ya TRA Kila siku tunaweka, takwimu za magorofa NBS wametoa,Mahoteli na wewe unajua, matumizi ya umeme Arusha namba 4 na wewe unajua nk nk.
Hivi hii rock bay Iko mwanza sehemu gani?Mr tuusan [emoji116]
Soon tutawanyan'ganya hiyo status ya tourist destination city .
[emoji116]
Rock bay resort View attachment 2482080View attachment 2482081View attachment 2482082View attachment 2482083
Sio Kila kitu ndio maana uchumi ni mjumuiko wa sekta nyingiNa Shinyanga ni namba Tatu, ina maanisha shinyanga wapo vizuri kiuchumi na kila kitu kuzidi Arusha?
Hilo la hospital ondoa kabisaa bakia na hayo mengineBado
15. Hospitali kubwa ya rufaa Kanda
16. Mega projects za SGR , kigongo busisi bridge na maritime rescue centre
17. Masoko ya kisasa kama central market, kirumba, buswelu na mkuyuni
Nilishaweka takwimu za sensa sector ya Afya, arusha alikaa asubuhi na mapema, pia Elimu na majengo..... Unataka nini kingine?Hilo la hospital ondoa kabisaa bakia na hayo mengine