Sasa wew umeleta vitu tangible au na wew umefikiria tu .... figure ziko wapi kuprove kuwa mnatuzidi barabara Kali, mpangilio wa mji na uzuri,, maghorofa marefu,.... nakubaliana na hotel tu ,,,lakin hayo mapato yako ya mchongo yanamezwa na GDP ..
Mwanza inaizidi Arusha vifuatavyo
1.uchumi na utajiri
2.ukubwa wa mji
3.mwingiliano wa watu
4.mandhari
5.ubora wa mji kwenye huduma zote za msingi (afya,elimu,nk)
6.ubora wa makazi (number of porshy neighborhood)
7.Mapato ya halmashauri
8.Mtandao wa barabara za lami mjini
9 Miradi mikubwa , iconic projects
10.geographical advantage.
Sent using
Jamii Forums mobile app