Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ndo ujiulize wewe kama mwaarusha unamchango Gani katika mapato ya mkoa. Maana vijana mnakumbilia kuwa matour guide ndo mwajidai wajanja 😀😀😀😀. Kuna vitu vinafurahisha sana. Pili mmeiga lafudhi ya Kenya na miondoko Yao halafu unakuja kujiita mjanja. Si Bora tujue tu kuwa huo ni ULIMBUKENI. hata hivyo subiria kidogo soko la utalii litakavyokuwa after some years to come.
Sasa shida nini kaka wote sisi watu ya Tz, kwan nn tusiwe wa moja tu.
 
Mimi sio hater,Mwanza haitawah kua tourist destination ya nchi hii kamwe,Arusha and zanzibar takes the lead all day everyday

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kwanni isiwe ,,,,,Kwanin Arusha mlichoizidi mwanza si hotel tu ,....
Ila potential za utalii mwanza inawazidi,, kuanzia ziwa na ukaribu wake na hifadhi taifa .....
Mwanza inahitaji promotion tu .. mengine yote yanawezekana,,,,
20230129_092220.jpg
20230213_153236.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanni isiwe ,,,,,Kwanin Arusha mlichoizidi mwanza si hotel tu ,....
Ila potential za utalii mwanza inawazidi,, kuanzia ziwa na ukaribu wake na hifadhi taifa .....
Mwanza inahitaji promotion tu .. mengine yote yanawezekana,,,,View attachment 2518706View attachment 2518707

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta vitu tangible sio mambo ya kufikirika eti potential [emoji16][emoji16]

Kila takwimu tukiweka huku Arusha imechapa Mwanza.

Imewazidi yafuatayo
Mahoteli
Barabara Kali
Mapato ya TRA
Magorofa mengi na marefu
Viwanda
Matumizi ya umeme Kitaifa
Uzuri wa Mji na mpangilio
Living Standards
Ustaarabu,Arusha hawanyi ziwanj kama Mwanza

Hayo ni baadhi tuu Kati ya mengi
 
Sasa wew umeleta vitu tangible au na wew umefikiria tu .... figure ziko wapi kuprove kuwa mnatuzidi barabara Kali, mpangilio wa mji na uzuri,, maghorofa marefu,.... nakubaliana na hotel tu ,,,lakin hayo mapato yako ya mchongo yanamezwa na GDP ..
Mwanza inaizidi Arusha vifuatavyo
1.uchumi na utajiri
2.ukubwa wa mji
3.mwingiliano wa watu
4.mandhari
5.ubora wa mji kwenye huduma zote za msingi (afya,elimu,nk)
6.ubora wa makazi (number of porshy neighborhood)
7.Mapato ya halmashauri
8.Mtandao wa barabara za lami mjini
9 Miradi mikubwa , iconic projects
10.geographical advantage.

Umemaliza kila kitu hapa na hizi ndo sifa za second city in the country
 
Umesahau na beaches asee jiji bila pa kupunga upepo na kuongelea sio jiji[emoji23]
Nikitaja beach nitawaonea ,,maana wao wana Kingo za mto [emoji28][emoji28][emoji28]....
Niwaongezee pia
11. public infrastructure kama footbridges,bus terminalz na market
12 . biggest shopping mall
13.modern and busy Airport
14.hub for major companies like auric air,nyanza roads works ,MSCL ,songoro Marine
15.uwepo wa vyombo vingi vya habari na vikubwa kama redio free,star tv,mahasin tv nk

😅😅 kingo za mito basi sisi tuna river banks.
 
Nikitaja beach nitawaonea ,,maana wao wana Kingo za mto [emoji28][emoji28][emoji28]....
Niwaongezee pia
11. public infrastructure kama footbridges,bus terminalz na market
12 . biggest shopping mall
13.modern and busy Airport
14.hub for major companies like auric air,nyanza roads works ,MSCL ,songoro Marine
15.uwepo wa vyombo vingi vya habari na vikubwa kama redio free,star tv,mahasin tv nk

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado
15. Hospitali kubwa ya rufaa Kanda
16. Mega projects za SGR , kigongo busisi bridge na maritime rescue centre
17. Masoko ya kisasa kama central market, kirumba, buswelu na mkuyuni
 
Sasa wew umeleta vitu tangible au na wew umefikiria tu .... figure ziko wapi kuprove kuwa mnatuzidi barabara Kali, mpangilio wa mji na uzuri,, maghorofa marefu,.... nakubaliana na hotel tu ,,,lakin hayo mapato yako ya mchongo yanamezwa na GDP ..
Mwanza inaizidi Arusha vifuatavyo
1.uchumi na utajiri
2.ukubwa wa mji
3.mwingiliano wa watu
4.mandhari
5.ubora wa mji kwenye huduma zote za msingi (afya,elimu,nk)
6.ubora wa makazi (number of porshy neighborhood)
7.Mapato ya halmashauri
8.Mtandao wa barabara za lami mjini
9 Miradi mikubwa , iconic projects
10.geographical advantage.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe boya kweli yaani nirudie figures za mapato ya TRA Kila siku tunaweka, takwimu za magorofa NBS wametoa,Mahoteli na wewe unajua, matumizi ya umeme Arusha namba 4 na wewe unajua nk nk.

Yaani wewe unachekesha , uchumi na utajiri upi ikiwa mnachangia mapato kiduchu kwenye kapu la serikali? Living Standards ya Arusha ni kubwa kushinda Mwanza

Kituko kingine eti muingiliano wa watu,Mwanza huko ambalo mkiona wazungu mnaanza kuwashangaa? Kama Kuna muingiliano wa watu mbona ushamba umewazidi Hadi mnakunya ziwani?

Kituko Cha Karne kingine ni hiki,Mandhari ipi ya Mwanza Hadi kuwazidi Arusha? Arusha Kila mwaka inatakiwa kwenye trip advisor na inaitwa Geneva of Afrika,hiyo Mwanza umewahi isikia popote ikitajwa Duniani? Slums hizo ndio Mandhari au?

Huduma zipi ambazo Mwanza inazo kushinda Arusha? International schools Arusha ni nyingi kuliko Mwanza,vyuo ndio usiseme.

Hivi Mwanza Kuna porshy neighbohood au hata hujui unachoongea? Arusha wanakoishi diplomats ndio utalinganisha na huko migodini na kwenye mapango ya mawe?

Mapato ya Halmashauri yapi? Leta hapa tulinganishe.

Eti mtandao wa Barabara za lami,huu ni uzushi wa kujifariji. Ile Barabara Moja ya njia 4 na bypass Ina km nyingi kushinda Barabara zote za Mwanza.

Labda hapo kwenye miradi mikubwa tuu nothing else
 
Wewe boya kweli yaani nirudie figures za mapato ya TRA Kila siku tunaweka, takwimu za magorofa NBS wametoa,Mahoteli na wewe unajua, matumizi ya umeme Arusha namba 4 na wewe unajua nk nk.
Na Shinyanga ni namba Tatu, ina maanisha shinyanga wapo vizuri kiuchumi na kila kitu kuzidi Arusha?
 
Bado
15. Hospitali kubwa ya rufaa Kanda
16. Mega projects za SGR , kigongo busisi bridge na maritime rescue centre
17. Masoko ya kisasa kama central market, kirumba, buswelu na mkuyuni
Hilo la hospital ondoa kabisaa bakia na hayo mengine
 
Back
Top Bottom