Bata lipo mwanza mkuu, sehemu za bat kama zote. Ukitoa kwa mrombo, kaloleni na sehemu zingine chache maeneo ya kulia Bata yako wapi kakaHuu mtifuano hauwezi kuisha maana ninyi machalii wa mwanza bado sana kuijua dunia tokeni uko ziwani njooni duniani muone watu wanavyokula bata
Maskini unawajua wewe mnywa mbege[emoji1]Yani nyie munashindana na Arusha wakati sisi tunawaza kushindana na Durban au cape town ebooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hatushindani na vijiji vya wavuvi. Mwanza umasikini umetawa kule kazi kizaliana na kuua Albino na vikongwe na ndio maana muna laana matajiri wakubwa apo kwenu wametoka kaskazini. Munaamini ndagu munaangalia tu kutowa kafara baba zenu na ndugu zenu albinos
Ata mimi napenda ligue sana hasa za miji, ngoja tuwasubiri walete za arusha.Maskini unawajua wewe mnywa mbege[emoji1]
Hiii ndio mitaaa wanaoishi masikini wa mwanza nahitaji picha ya wanakoishi matajiri wa arusha[emoji378]
Napenda ligi sana[emoji16]View attachment 2519822View attachment 2519824
Bro nikuonjeshe tu ladha kidogo ya mwanza ujue Bata linalikaHuu mtifuano hauwezi kuisha maana ninyi machalii wa mwanza bado sana kuijua dunia tokeni uko ziwani njooni duniani muone watu wanavyokula bata
Utadhani watu wapo Miami au Hawaii duh MWANZA SIHAMI.Bro nikuonjeshe tu ladha kidogo ya mwanza ujue Bata linalika
View attachment 2519828
Hii ilikuwa sample tu ili mwana Chelsea mwenzangu ajioneeUtadhani watu wapo Miami au Hawaii duh MWANZA SIHAMI.
Nashauri tuanze battle n miji ya Marekani
Huyo anajua hata maana ya bata anachojua yeye ni kubeba mabegi ya watalii tu.Hii ilikuwa sample tu ili mwana Chelsea mwenzangu ajionee
ππππππHuyo anajua hata maana ya bata anachojua yeye ni kubeba mabegi ya watalii tu.
Kila siku nawaambia kina tusan.hiyo sifa ya mji wa utalii nawapa miaka 5 tu ...hawaelewi ....,, investment kwenye recreation center,,na resorts inazidi kuwa kubwa kuliko huko migombani city.[emoji28][emoji28]View attachment 2519849View attachment 2519850
Wapo sana na hatujawahi ringa
Hapa walikuwa kijiwe hiki hapa[emoji116][emoji116]
View attachment 2519852
Kwatunza beach [emoji3553] resort itakuja kuua mtu humu[emoji28][emoji28][emoji28]Bro nikuonjeshe tu ladha kidogo ya mwanza ujue Bata linalika
View attachment 2519828
Watasema ni Abu Dhabi apartmentMaskini unawajua wewe mnywa mbege[emoji1]
Hiii ndio mitaaa wanaoishi masikini wa mwanza nahitaji picha ya wanakoishi matajiri wa arusha[emoji378]
Napenda ligi sana[emoji16]View attachment 2519822View attachment 2519824
Sisi hatunaga mbambamba Mzeebaba, mambo ya ligi tushawaachia ninyi maana nyie siyo level tena nyie pambaneni na kahama au mbeya uko kwa sasa mwanza bado ni kijiji cha wavuvi au wanaita The village City. Apa Arusha tungekuwa na ziwa kubwa kama Viktoria basi tungekuwa level za Miami amini kwamba mkuu. Punguzeni njaa na umasikini ulikithiri uko kwenu. Unapiga picha mitaa michache tu hiyo inakupa kiburi unaacha vile vinyumba vyenu vilivyojengwa juu ya mawe kisa umasikini tu umewajaa kazi kuzaliana tu ushamba mwingi watu muko nao uko mwanza. Wageni ndio wanaujenga uo mji atleast ukue kue maana hata dodoma wanakuja kwa kasi baada ya miaka mitano tu mwanza itabaki kama ilivyo na Dodoma itakuwa juu.Maskini unawajua wewe mnywa mbege[emoji1]
Hiii ndio mitaaa wanaoishi masikini wa mwanza nahitaji picha ya wanakoishi matajiri wa arusha[emoji378]
Napenda ligi sana[emoji16]View attachment 2519822View attachment 2519824
Uondoe nyamagana uipeleke wap?Na kwanin uiondoe?Mkuu mkimbizano wa apa town utauweza kweli. Apa town mzunguko wa ngariwa ni mara nane ya pale mwanza. Ukiondoa nyamagana mwanza ni kijiji kilichochangamka πππ
Nilishawaambia humu Arusha haiwezi kulinganishwa na Vijijini vya wavuvi na washamba.Habari mbaya sana.
Kwamba Uswahilini, Engosheraton, Sinon, Ungalimited, Muriet, Elerai, Olasiti huko Moivo pako vizuri zaidi...?!Sisi hatunaga mbambamba Mzeebaba, mambo ya ligi tushawaachia ninyi maana nyie siyo level tena nyie pambaneni na kahama au mbeya uko kwa sasa mwanza bado ni kijiji cha wavuvi au wanaita The village City. Apa Arusha tungekuwa na ziwa kubwa kama Viktoria basi tungekuwa level za Miami amini kwamba mkuu. Punguzeni njaa na umasikini ulikithiri uko kwenu. Unapiga picha mitaa michache tu hiyo inakupa kiburi unaacha vile vinyumba vyenu vilivyojengwa juu ya mawe kisa umasikini tu umewajaa kazi kuzaliana tu ushamba mwingi watu muko nao uko mwanza. Wageni ndio wanaujenga uo mji atleast ukue kue maana hata dodoma wanakuja kwa kasi baada ya miaka mitano tu mwanza itabaki kama ilivyo na Dodoma itakuwa juu.
ππππππ Haya maeneo ukisikia majina yake yakitajwa utafikiri pako poa sana, fika kajionee ndo utajua kwa Mungu si kwa mzungu.Kwamba Uswahilini, Engosheraton, Sinon, Ungalimited, Muriet, Elerai, Olasiti huko Moivo pako vizuri zaidi...?!
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Hivi hauna hata picha ya hilo jiji kubwa Africa [emoji16][emoji16] mbona unatia aibu sanaSisi hatunaga mbambamba Mzeebaba, mambo ya ligi tushawaachia ninyi maana nyie siyo level tena nyie pambaneni na kahama au mbeya uko kwa sasa mwanza bado ni kijiji cha wavuvi au wanaita The village City. Apa Arusha tungekuwa na ziwa kubwa kama Viktoria basi tungekuwa level za Miami amini kwamba mkuu. Punguzeni njaa na umasikini ulikithiri uko kwenu. Unapiga picha mitaa michache tu hiyo inakupa kiburi unaacha vile vinyumba vyenu vilivyojengwa juu ya mawe kisa umasikini tu umewajaa kazi kuzaliana tu ushamba mwingi watu muko nao uko mwanza. Wageni ndio wanaujenga uo mji atleast ukue kue maana hata dodoma wanakuja kwa kasi baada ya miaka mitano tu mwanza itabaki kama ilivyo na Dodoma itakuwa juu.