Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Huu mtifuano hauwezi kuisha maana ninyi machalii wa mwanza bado sana kuijua dunia tokeni uko ziwani njooni duniani muone watu wanavyokula bata
Bata lipo mwanza mkuu, sehemu za bat kama zote. Ukitoa kwa mrombo, kaloleni na sehemu zingine chache maeneo ya kulia Bata yako wapi kaka
 
Yani nyie munashindana na Arusha wakati sisi tunawaza kushindana na Durban au cape town ebooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hatushindani na vijiji vya wavuvi. Mwanza umasikini umetawa kule kazi kizaliana na kuua Albino na vikongwe na ndio maana muna laana matajiri wakubwa apo kwenu wametoka kaskazini. Munaamini ndagu munaangalia tu kutowa kafara baba zenu na ndugu zenu albinos
Maskini unawajua wewe mnywa mbege[emoji1]

Hiii ndio mitaaa wanaoishi masikini wa mwanza nahitaji picha ya wanakoishi matajiri wa arusha[emoji378]

Napenda ligi sana[emoji16]
SHA_20220727_164614455_8.4.400.jpg
SHA_20220710_174824513_8.4.400.jpg
 
6efca7cc20fae115a9522bcfcff391b0.jpg
dd03027a8baa968eb531a07e628f5afd.jpg

Wapo sana na hatujawahi ringa
Hapa walikuwa kijiwe hiki hapa👇👇
 
Maskini unawajua wewe mnywa mbege[emoji1]

Hiii ndio mitaaa wanaoishi masikini wa mwanza nahitaji picha ya wanakoishi matajiri wa arusha[emoji378]

Napenda ligi sana[emoji16]View attachment 2519822View attachment 2519824
Sisi hatunaga mbambamba Mzeebaba, mambo ya ligi tushawaachia ninyi maana nyie siyo level tena nyie pambaneni na kahama au mbeya uko kwa sasa mwanza bado ni kijiji cha wavuvi au wanaita The village City. Apa Arusha tungekuwa na ziwa kubwa kama Viktoria basi tungekuwa level za Miami amini kwamba mkuu. Punguzeni njaa na umasikini ulikithiri uko kwenu. Unapiga picha mitaa michache tu hiyo inakupa kiburi unaacha vile vinyumba vyenu vilivyojengwa juu ya mawe kisa umasikini tu umewajaa kazi kuzaliana tu ushamba mwingi watu muko nao uko mwanza. Wageni ndio wanaujenga uo mji atleast ukue kue maana hata dodoma wanakuja kwa kasi baada ya miaka mitano tu mwanza itabaki kama ilivyo na Dodoma itakuwa juu.
 
Kwamba Uswahilini, Engosheraton, Sinon, Ungalimited, Muriet, Elerai, Olasiti huko Moivo pako vizuri zaidi...?!

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sisi hatunaga mbambamba Mzeebaba, mambo ya ligi tushawaachia ninyi maana nyie siyo level tena nyie pambaneni na kahama au mbeya uko kwa sasa mwanza bado ni kijiji cha wavuvi au wanaita The village City. Apa Arusha tungekuwa na ziwa kubwa kama Viktoria basi tungekuwa level za Miami amini kwamba mkuu. Punguzeni njaa na umasikini ulikithiri uko kwenu. Unapiga picha mitaa michache tu hiyo inakupa kiburi unaacha vile vinyumba vyenu vilivyojengwa juu ya mawe kisa umasikini tu umewajaa kazi kuzaliana tu ushamba mwingi watu muko nao uko mwanza. Wageni ndio wanaujenga uo mji atleast ukue kue maana hata dodoma wanakuja kwa kasi baada ya miaka mitano tu mwanza itabaki kama ilivyo na Dodoma itakuwa juu.
Hivi hauna hata picha ya hilo jiji kubwa Africa [emoji16][emoji16] mbona unatia aibu sana

Unataka picha za mabatini na igogo au?

Miji mikubwa yote Africa inauswazi ila sio uswqzi mbovu kama za arusha

Naona jinsi unavyoumia[emoji1]
20221215_171753.jpg
 
Back
Top Bottom