Mwanza na iheshimiwe na watu wote.Nimecheka sana Vijana wa Mwanza mmetumia HIMARS chache tu,Chuga boys chalii[emoji3][emoji3]Wapi palipochangamka, watu tunatafuta maisha hapa watu wametoka mikoani na kuja mwanza kutafuta ridhiki we unaleta udwanzi, pita kushoto mkajazane huko dar.
Mwanza na iheshimiwe na watu wote.Nimecheka sana Vijana wa Mwanza mmetumia HIMARS chache tu,Chuga boys chalii[emoji3][emoji3]
Mwanza hands up [emoji119][emoji119]Umelowa[emoji1][emoji1] MWANZA ni jitu kubwa sana lenye wakazi wasio na kelele za kishamba
hauwezi mkuta mtu wa MWANZA anazarau mikoa mingine
Ila nyie kila siku kuishindanisha MWANZA na mikoa yenu ya kipuuzi
Njooo MWANZA ukutane na matajiri wa kisukuma wasiopenda kujionesha wametulia tu
Kijana wa miaka 21 kijijini kwao anang'ombe zaidi 100 mjini anakula maisha na hana maneno mengi[emoji1]
Vijana wanamitumbwi wanapiga hela za samaki na bado wametulia tu[emoji1]
Vijana wanamashimo huko migodini na bado wametulia hawana kelele[emoji1]
MWANZA fulsa ni nyingi sana watu tunapiga pesa kimya kimya
Ukiwa MWANZA hakuna bus za kwenda ruvuma na zanzibar[emoji1][emoji1] mikoa yote iliyobakia basi utazikuta nyegezi au nyamhongolo na zote zinaanzia MWANZA sijui unanielewa wewe bwiga
Bila kusahau mabus ya nairobi,bujumbura,kampala,lubumbashi na kigali[emoji3] sijui unanipata najaribu kukupa picha japo kwa uchache ukisikia MWANZA city ue na ABC
Bado tuna meli ya mizigo mv jumuiya inatembea nchi tatu Tanzania,kenya na uganda
Ukisikia mtu anakwambia watu wa Mwanza ni washamba basi huyo kihoro kinamsumbua MWANZA tuna mall kubwa ya kisasa Tanzania nzima[emoji3]
Tuna madaraja makubwa ya watembea kwa miguu kama furahisha na mabatini[emoji3]
Tuna tuna mabarabara mengi mazuri hadi njia nne hadi sita... njia sita zinaanzia furahisha hadi ghana[emoji3]... njia sita zinaanzia town hadi airport
Njia tatu zinaanzia nata hadi kijereshi.. voil hadi bohari
Tuna fukwe nzuri na kubwa tena bure kabisa[emoji3]
Tunastand kubwa mbili za kisasa kabisa[emoji3]
Tunamaghorofa mengi sana [emoji3]
Tunahispatili kubwa yenye gorofa 11[emoji3]
Kwenye bata ndio usiseme[emoji3]
Bado kunambuzi itasema MWANZA kuna washamba ni kipi MWANAMWANZA ataenda kushangaa mikoa mingine ambacho kwao hakipo[emoji3][emoji3]
mtu wa arusha akija mwanza atashangaa fukwe kubwa,meli kubw kubwa, atashangaa milima mchana na usiku atashangaa tena kuona milima inawaka mataaa[emoji16] kama valley light italy[emoji95]... atashangaa madaraja makubwa na mazuri
Mwisho kabisa atangaa SANGARA na SATO freeeeeesh [emoji95][emoji95] ashibe akasimulie kwao [emoji16]
Narudi tena kwa picha... leo nipo kukutoa ujinga[emoji378]
Mmefanya vizuri lakini kuwashikisha adabu hawa wala mirungi na kuvaa maviatu makubwa na manguo oversize na wanajiona Arusha ndiyo kila kitu.Wadau wa Mwanza kiukweli naumia sana tunapolinganishwa na miji ya ajabu mara arusha, dodoma, mbeya na sasa tunalinganishwa na bunda, hii kitu sio njema kabisa ata kama mnachuki na Mwanza si kihivyo, mkubwa apewe heshima yake.
Mwanza tunamheshimu Dar japo tunafukuza mwizi kimya kimya lkn tunakubali wametuzidi.
Ligi ya Mwanza inapaswa hiwe na kigali, Mombasa na kampala basi.
Hakuna jipya hapa,leta nyingineChugaView attachment 2522745View attachment 2522747View attachment 2522748
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Tuwasindikizie na wimbo wa Fid Q Mwanza MwanzaView attachment 2522912View attachment 2522913View attachment 2522914
Namna hii Bado mnasema battle iendelee. Kuna vitu havijibiki kwa picha Wala maneno
Angalia dm yako nimekutumia link fulani hukoHata sijui
Huu uzi nilikuwa naupita tu,leo nimeamua kuusoma walau page 100 za mwisho.Watoto wa mwanza heshima kwenu.Mnashusha vitu juu ya vitu [emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leta mall ya arushawashamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
Makamanda wa Mwanza hamjatuangusha kwakweli.Hawa watoto wa Arachuga waanze kwanza kujifunza kuvaa na kuacja bangi na Miraa kabla hawajarukia mada nzito kama hizi.Vinginevyo wakichangia na akili zao za bangi na miraa watachakaa [emoji3][emoji3],,,....big up sana watu wangu wa Mwanza ,,,... siku nyingine hamna mtu atakuwa na nguvu ya kuanzisha battle na hili jiji ...we are strong and united .NGUVU MOJA[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mamluki wa njombe anachungulia tu Kwa mbali ...hii ngoma nzito[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4][emoji4][emoji12]Makamanda wa Mwanza hamjatuangusha kwakweli.Hawa watoto wa Arachuga waanze kwanza kujifunza kuvaa na kuacja bangi na Miraa kabla hawajarukia mada nzito kama hizi.Vinginevyo wakichangia na akili zao za bangi na miraa watachakaa [emoji3][emoji3]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28]....... tourism gan ........umeambiwa upost villas ,umeshindwa hapa ,umebaki kubung'aa macho ,mwambie tuusan akusaidie [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app