Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Acha ulofa, tulikushauri mapema acha bangi hukutaka kuelewa. Huu kisayansi ni upambavu mamboleo. Yaani tuishi na imagination zako fala kweli
 
Kingine, ili kwako mtu awe boya anatakiwa aweje?
 
Acha hasira wewe bwege,hapajachangamka fullstop.
Ni pazuri ila hapajachangamka kwani uongo.unataka sifa za uwongo ili iweje
Kuchangamka kivipi yaani mbona hatukuelewi. Au unafikiri makelele ya matangazo ya nguo pale mnapaita half London mwanza hayapo. Hauufahamu mji wewe. Sisi tunaenda kwa facts maana maeneo yote tunayafahamu.
 
Ile sensa ya nyumba ilihitimisha hii battle mwanza ilikuwa na ghorofa vichache mno sijui kwanini ni wabishi wanaendelea na hii battle
 
Wazee tumjibu au tumwache aendelee kuwa mjingaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Acha ujinga mwanza ishakuwa Jiji kitambo mwendazake hata hakuwa kwenye kitabu chochote Cha kumbu kumbu. Tatizo mkilewa bangi mnaona ukabila ndo ajenda kwenye. Tumia akili yako kabla hujavuta au kunywa hizo high life.
 
Tumekutumia sana hata hivyo kwenda zako
 
Kuna wakati nilitaka kufanya GRE test au IELTS booking nikiwa mwanza nkajua basi labda wanasema ni jiji itakuwa kawaida, mavi.. yani ata walikuwa hawanielewi ikabidi nifanye booking Arusha maana dar kulikuwa kumejaa , mwanza is just garbage bro sio jiji ndio maana mnaweweseka na vipicha, arusha wakiamua kupiga picha mtajua hamjui sema wenzenu hawaoni kama ni ajabu. Mwanza is trash.
Tumekutumia sana hata hivyo kwenda zako
 
Acha kuishi kwa kukariri wewe dunia inabadilika kila iitwapo leo!
 
Is trash in your own dust bin sorry!! Your mouth πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Panicked! 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…