Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ile sensa ya nyumba ilihitimisha hii battle mwanza ilikuwa na ghorofa vichache mno sijui kwanini ni wabishi wanaendelea na hii battle
Hata kama vingekuwa viwili ila Mwanza ni pazuri bhana, wala mirungi kaeni kwa kutulia!
 
Sasa watu wa Arusha wamekosa picha kweli? [emoji41][emoji41] Anyways wataleta nini ilhali ukitoka tu CBD mfano ukitoka Mianzini mataa kwenda Ilboru kule unaanza kukutana na nyumba za tope in less than a kilometre toka highway [emoji41]
 
Kuchangamka kivipi yaani mbona hatukuelewi. Au unafikiri makelele ya matangazo ya nguo pale mnapaita half London mwanza hayapo. Hauufahamu mji wewe. Sisi tunaenda kwa facts maana maeneo yote tunayafahamu.
Kwani ni wewe tu ndie unaeifahamu mwanza wewe.kwani nimetaka wewe unielewe mbona km unawashwa washwa
 
Eti hapachangamka .. Arusha kumechangamka nini ,,na wapi [emoji16][emoji16]..au unavyoenda kuokoteleza malaya pale shivaz ..ndo kuchangamka huko....

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hasira sasa 🤣🤣🤣,yani mnataka msifiwe tu? kubalini ukweli hapajachangamka,hakuna mishemishe au unadhani ww tu ndio unaijua mwanza
 
Umeshakunywa mbege unatuona sisi ni wajinga kama wewe


Daraja la watembea kwa miguu[emoji1] MWANZA
 
We si fala, unataka tukuamini wewe na ujinga wako. Unafikiri tumesoma shule za Bure😀😀😀
🤣🤣🤣🤣Wapi wewe bwege umesoma huko sengerema,elimu ya bure

Basi mwanza ni noma,mwanza ni shida,mwanza ni habari nyingine,mwanza ni zaidi ya newyork,mwanza ni wajanja 🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣Wapi wewe bwege umesoma huko sengerema,elimu ya bure

Basi mwanza ni noma,mwanza ni shida,mwanza ni habari nyingine,mwanza ni zaidi ya newyork,mwanza ni wajanja 🤣🤣
Wewe mdogo wangu acha dharau, kuhusu elimu ni kipengele kingine ila kubali battle imekulalia na ni facts tupu. Sisi tunaenda kwa maneno na vitendo.
 
Wewe mdogo wangu acha dharau, kuhusu elimu ni kipengele kingine ila kubali battle imekulalia na ni facts tupu. Sisi tunaenda kwa maneno na vitendo.
Eeh mwanza ni newyork ya Tanzania 🤣🤣 hata facts za sensa zinaonesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…