Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sipendi kudanganywa, mnajikuta sana nyie na dharau kibao. Huu Uzi hata hatukuwa na mpango nao ila tumeona ni vyema kuwajibu.
 
Sipendi kudanganywa, mnajikuta sana nyie na dharau kibao. Huu Uzi hata hatukuwa na mpango nao ila tumeona ni vyema kuwajibu.
Nimeshakuambia Hakuna kama Mwanza,ile rock city mall ni balaa,mpk buhongwa yote inakalisha majiji yote ya Tz😀😀
 
Mwanza ni noma vile vijumba milimani kwenye mawe vipo kama visiwa vya bali,indonesia
Wanakaa matajiri wa Tanzania tu kule
Ungalimited na maeneo mengine Kuna contemporaries mdogo wangu ni fresh tu.
 
Sasa si ungeenda hapa we bwege
 
Leta picha acha ngonjera, kwanza chama langu la man u linafanya mambo mazuri hapa.
 
Wewe mshamba tu.. zile nyumba za miliman mwanza zinafanana na milima ya Santorini Greece
Khaaaaa.santorini ya uharo 😁,serikali iokoe maisha ya matajiri iwatoe milimani kule,hatutaki majanga kwa wanyonge
 
Khaaaaa.santorini ya uharo [emoji16],serikali iokoe maisha ya matajiri iwatoe milimani kule,hatutaki majanga kwa wanyonge
Capri point mwanza Tanzania ni bel air au Atherton kwa Tanzania kama hayo maeneo unayafahamu bila Google ni mjanja sio unacompare mwanza na Indonesia ya mavi
 
washamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
Wavaa over size ya viatu na mavazi utawajua tu na hasa wakiwa wamevuta miraa usiku kucha [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…