Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Sipendi kudanganywa, mnajikuta sana nyie na dharau kibao. Huu Uzi hata hatukuwa na mpango nao ila tumeona ni vyema kuwajibu.
 
Sipendi kudanganywa, mnajikuta sana nyie na dharau kibao. Huu Uzi hata hatukuwa na mpango nao ila tumeona ni vyema kuwajibu.
Nimeshakuambia Hakuna kama Mwanza,ile rock city mall ni balaa,mpk buhongwa yote inakalisha majiji yote ya Tz😀😀
 
Mwanza ni noma vile vijumba milimani kwenye mawe vipo kama visiwa vya bali,indonesia
Wanakaa matajiri wa Tanzania tu kule
Ungalimited na maeneo mengine Kuna contemporaries mdogo wangu ni fresh tu.
 
IMG_20230219_183047.jpg
Siyo maneno yangu. Ni wakenya
 
Kuna wakati nilitaka kufanya GRE test au IELTS booking nikiwa mwanza nkajua basi labda wanasema ni jiji itakuwa kawaida, mavi.. yani ata walikuwa hawanielewi ikabidi nifanye booking Arusha maana dar kulikuwa kumejaa , mwanza is just garbage bro sio jiji ndio maana mnaweweseka na vipicha, arusha wakiamua kupiga picha mtajua hamjui sema wenzenu hawaoni kama ni ajabu. Mwanza is trash.
Sasa si ungeenda hapa we bwege
20230219_184233.jpg
 
Mwanza hakuna hot air ballons, hakuna camping hakuna, luxury estates, hakuna shopping choices, hakuna enough standard hotels, hakuna mlima, hakuna vitu kibao, hawana uelewa wa haraka, hawapo sharp , hawana exposure ya kukutana na watu wa mataifa mbalimbali, hakuna maghorofa ya maana, ni kijiji kilichochangamka, CBD inazidiwa na Dodoma, Arusha City ni wilaya moja tu, waki recategorize kama inavyotakiwa Mwanza is nothing, Arusha hakuna lugha kubwa duniani isiyozungumzwa pale. Hakuna mjanja anaishi mwanza. Expatriates kibao wanaishi arusha ever thought why? wapo ahead. Mwendazake na makonda na gang yao wamefanya juu chini arusha na kilimanjaro zikapoa ila Mungu akafanya yake.
Leta picha acha ngonjera, kwanza chama langu la man u linafanya mambo mazuri hapa.
 
Wewe mshamba tu.. zile nyumba za miliman mwanza zinafanana na milima ya Santorini Greece
Khaaaaa.santorini ya uharo 😁,serikali iokoe maisha ya matajiri iwatoe milimani kule,hatutaki majanga kwa wanyonge
 
Khaaaaa.santorini ya uharo [emoji16],serikali iokoe maisha ya matajiri iwatoe milimani kule,hatutaki majanga kwa wanyonge
Capri point mwanza Tanzania ni bel air au Atherton kwa Tanzania kama hayo maeneo unayafahamu bila Google ni mjanja sio unacompare mwanza na Indonesia ya mavi
 
washamba utawajua tu. Ndio nini sasa hicho? Yani Mwanza bila rock city mall ni sawa na Singida tu.
Wavaa over size ya viatu na mavazi utawajua tu na hasa wakiwa wamevuta miraa usiku kucha [emoji4]
 
Back
Top Bottom