Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Kwa kukataa tu kutuma picha wameshakubali ukweli, nani angekubali kuendelea kutuma picha za mji wao wakati Kila picha nzuri wanaojaribu kutuma inaonekana poor ukilinganisha na Mwanza[emoji28][emoji28]
Sio lazima wajioneshe hapa, ila moyoni wameshaelewa. Hope hawatorudia tena [emoji1787][emoji1787]
 
Achana na wasukuma wengine ambao hauwajui battle na mimi msukuma

Mimi nakuzidi wewe kila kitu[emoji16] yaaani kila kitu

Ninauwezo wa kulisha familia yenu yote [emoji1]
Hakuna mtu yeyote kutoka mwanza anaweza kunieleza kitu,SI unit, yani kipimo cha washamba. Nyie fanyenu battle na singida, kahama huko. Miji ya kimataifa achaneni nayo. Eti mwanza kwanza ni aibu ata kutaja ujanja na mwanza na ujanja kwenye sentensi moja. Hakuna battle tusisumbane, nipo arusha pyramids kama unapajua malofa nyie mashamba hamtuwezi kwa lolote. Yani kwa lolote.
 
Ungejua tunawadharau tunawaona hamna akili, eti moyoni. Shamba city bana. Watu wamewapuuza tu. Maana mnaonekana malimbukeni na vipicha picha 🤣🤣
 
Afu Arusha kuna watoto wa mwanza kibao hawataki kurudi tena shamba city. Hakuna swaga jiji kijiji.
 
Ivi nyie washamba wa mwanza bado munaleta ujiaji tu?
Tuanze kudondosha mapicha apa mukimbiye?
 
Ungejua tunawadharau tunawaona hamna akili, eti moyoni. Shamba city bana. Watu wamewapuuza tu. Maana mnaonekana malimbukeni na vipicha picha 🤣🤣
Yani picha eti ndio kigezo cha jiji kuwa zuri. Shamba city wanafeli sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…