Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

We mpuuzi na hio infinix uliyohongwa na shemeji yako[emoji3][emoji3]

Hauna hela
Infinix mwanza kumbe zishafika? hongereni, ni hatua kubwa sana, kumbe ndio maana mnapenda mapicha ya vighorofa uchwara vyenu hahaa
 
Mimi siijui Arusha???? Mimi ni Mchaga, naishi Arusha. Nenda Bar inaitwa Oxygen kama utakosa wachugga πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Kila mtu nani? Obama labda? Bill Clinton, Bill Gates? Jeff Bezos? Kina Abramovic nk. Hawa na wengine kibao wanapasuaga mitaa ya atown na watu wamezoea.
Muwasaidie mama zenu waache biashara za ndizi zinawaongezea maji[emoji3]
 
Infinix mwanza kumbe zishafika? hongereni, ni hatua kubwa sana, kumbe ndio maana mnapenda mapicha ya vighorofa uchwara vyenu hahaa
Mimi siwezi kutumia simu za kimaskini kama wewe [emoji3] hauna hela umechoka njaa fukara za kiarusha[emoji1]
 
Jikote kwenye Thread na uache uchoko

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mtu anaetoka sehemu ya kitajiri anajisifu kua yeye ni bora kumbe njaaa tu mla mavi [emoji1]


Unajisikiaje kutumia simu ya kichoko nyoko kama hio? Hauna hadhi ya kutumia simu nzuri[emoji1] yaaani umochoka njaaaa kali umepauka

Mimi ni msukuma mshamba lakini siwezi kutumia simu ya kimaskini kama hio[emoji1]
 
Rudi kwenye uzi,huu ni upumbavu sasa
Mwandiko wako tu unaonyesha wewe ni Mjinga kamili,umekosa contents unaanza bullying?bloody fool

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kuwa na adabu maada hii ilianzishwa na mpumbavu mwenzako
 
Rudi kwenye uzi,huu ni upumbavu sasa
Mwandiko wako tu unaonyesha wewe ni Mjinga kamili,umekosa contents unaanza bullying?bloody fool

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mm ni mjinga ninaekizid kwa kila kitu[emoji1]

Unajisikiaje kuzidiwa pesa na msukuma mshamba

unatumia Samsung A03 mwanaume mzima na wewe ukisimama kwa watu unawaita wasukuma washamba masikini

Wewe ni fukara tu usirudie kuwaita wasukuma washamba na masikini, wenye pesa tupo[emoji3]

Haya turudi kwenye mada.. arusha mnatuzidi nini wanamwanza?
 
Hua sipendi kumuona masikini anajiweka juu ya masikini wenzie kua yeye ni masikini bora[emoji3][emoji3] nikikubaini lazima nikushushie vya moto

Uzi uzungumze kwa picha[emoji3][emoji3] majigambo hatutaki
 
Hiyo list yako ni fake na ilijaa bias kama zote, kulikuwa na jengo la ghorofa 13 kwenye list lakin maghorofa ya Mwanza hayamo, yaan ata lile la nssf la ghorofa 18 halikuwepo unambie hiyo list ilikuwa fair kwel.
 
Hadi aibu, eti nataka picha. dah kweli watu wa mwanza ni hopeless, kwahiyo mnakaaga na ushamba wenu kupiga picha vijighorofa uchwara vyenu hapo? loosers.
Punguza jazba mzee, hii ni battle na kama ni battle unataka tupigizane kelele tu bila evidence, fact wala data.
Je nikisema Mwanza kuna jengo la ghorofa 100 utabisha au utakubali? Maneno hayavunji mfupa tupia picha kama hamuwezi bado kaeni kushoto kwanza tunajishusha hashi kubattle na vimji vy ajabu ajabu.
 
Mimi siijui Arusha???? Mimi ni Mchaga, naishi Arusha. Nenda Bar inaitwa Oxygen kama utakosa wachugga πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
Moses swai wewe ni mchaga pekee mwenye akili na unayejielewa ila sorry kwa kuwatukana mazee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…