Jengo limezidiwa na USA river plaza, ya zamani alafu ipo nje ya jiji pembeni huko Arusha. Hovyo mwanza.
Jengo limezidiwa na USA river plaza, ya zamani alafu ipo nje ya jiji pembeni huko Arusha. Hovyo mwanza.
manaajabu ni kwamba leo ukiwa unarudi kwako piga picha ya mtaa wako unakoishi wewe, si kua na nia ya kukuonesha uzuri wa nyumba [emoji16] manyumba ya kitajiri yapo capripoint,kiseke, mwananchi,nyamhongolo,buswelu,nyasaka,nyegezi majengo mapya,monarch,isamilo na minazi mitatuMwanza this is a shame. Yani hicho mnaona ni ajabu?
Mnaona maajabuuu, exposure hakuna was tu wa Mwanza. I rest my case.Hebu warushie pale kuanzia jengo la mohan mpaka buzuruga plaza achana nao weka picha
Ukitoka hapo barabara ya buzuruga kwenda Nyasaka hebu rusha
Kumbe unafuatilia kwa makini[emoji16][emoji16]Mwanza this is a shame. Yani hicho mnaona ni ajabu?
manaajabu ni kwamba leo ukiwa unarudi kwako piga picha ya mtaa wako unakoishi wewe, si kua na nia ya kukuonesha uzuri wa nyumba [emoji16] manyumba ya kitajiri yapo capripoint,kiseke, mwananchi,nyamhongolo,buswelu,nyasaka,nyegezi majengo mapya,monarch,isamilo na minazi mitatu
Niambie unataka nini?
Ndizi zinalipa eeeh??Mnaona maajabuuu, exposure hakuna was tu wa Mwanza. I rest my case.
Hawa niachie mimi niwanyoosheWakirusha ni pale town kwanza hata stend hawana wasituchoshe
Wewe haujawahi kutupia hata picha moja ya arusha[emoji3] tupia hata picha yakoMnaona maajabuuu, exposure hakuna was tu wa Mwanza. I rest my case.
Hawa niachie mimi niwanyooshe
Ni haki Chuga Boys watokwe povu kwa spana hizi[emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2524184
Huenda hata Buzuruga hapafahamuHili jengo halipo mjin lipo buzuruga
Mkuu kubali tu ligi imekuwa ngumu kwenu,mmeleta picha zote mmemaliza na sasa hakuna jipya mtatuletea hapa.Mwanza hoyee[emoji119][emoji119]Mnaona maajabuuu, exposure hakuna was tu wa Mwanza. I rest my case.
Huenda hata Buzuruga hapafahamu
Wenzako hawataki picha wanataka manenoππππTuma picha maelezo kidogo, yes mji wenu ni wakishamba tutawaambia ilo mpende ama msipende....
Lakini haimaanishi ndio uko hovyo kote,kuna visehemu kunaeleweka
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]JamiiForum wanazicompres picha kama hii toka mb 8 hadi 1 sipati picha kwa yule jamaa a03[emoji16][emoji16] sijui ataona nn?
Hapa London [emoji116]Johannesburg kuna ziwa ama bahari?even Nairobi kuna bahari? London?
Watu wa mwanza ni akili hamna ama ni nn
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
London, jo'burg zimezingukwa na maji ya bahari na mito mikubwa ukitoa tu hiyo Nairobi.Johannesburg kuna ziwa ama bahari?even Nairobi kuna bahari? London?
Watu wa mwanza ni akili hamna ama ni nn
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hii ingekuwa kwao wangeita Mall.
Leta picha tuone hiyo usa river plaza sisi hatuijui na kama ni uongo na umetunga tu jinaJengo limezidiwa na USA river plaza, ya zamani alafu ipo nje ya jiji pembeni huko Arusha. Hovyo mwanza.