Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mwanza this is a shame. Yani hicho mnaona ni ajabu?
manaajabu ni kwamba leo ukiwa unarudi kwako piga picha ya mtaa wako unakoishi wewe, si kua na nia ya kukuonesha uzuri wa nyumba [emoji16] manyumba ya kitajiri yapo capripoint,kiseke, mwananchi,nyamhongolo,buswelu,nyasaka,nyegezi majengo mapya,monarch,isamilo na minazi mitatu

Niambie unataka nini?
 
Hebu warushie pale kuanzia jengo la mohan mpaka buzuruga plaza achana nao weka picha
Ukitoka hapo barabara ya buzuruga kwenda Nyasaka hebu rusha
Mnaona maajabuuu, exposure hakuna was tu wa Mwanza. I rest my case.
 
manaajabu ni kwamba leo ukiwa unarudi kwako piga picha ya mtaa wako unakoishi wewe, si kua na nia ya kukuonesha uzuri wa nyumba [emoji16] manyumba ya kitajiri yapo capripoint,kiseke, mwananchi,nyamhongolo,buswelu,nyasaka,nyegezi majengo mapya,monarch,isamilo na minazi mitatu

Niambie unataka nini?

Wakirusha ni pale town kwanza hata stend hawana wasituchoshe
 
Mnaona maajabuuu, exposure hakuna was tu wa Mwanza. I rest my case.
Ndizi zinalipa eeeh??
Arusha-ethnic-groups-4.jpg
 
Jengo limezidiwa na USA river plaza, ya zamani alafu ipo nje ya jiji pembeni huko Arusha. Hovyo mwanza.
Leta picha tuone hiyo usa river plaza sisi hatuijui na kama ni uongo na umetunga tu jina
 
Back
Top Bottom