Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mikoa inayoongoza kwa kuwa na idadi kubwa zaidi ya majengo ya ghorofa #Tanzania kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi 2022 1. Dar es Salaam: 32,219 2. Arusha: 7,180 3. Tanga: 4,282 4. Kilimanjaro: 3,540 5. Mwanza: 2,481
Tufunge mjadala hakuna battle hapa..

Tuanzishe Mwanza vs Mbeya naona kwa Arusha ni kuionea Mwanza 😜😜
 
Mwanza bado sana hakuna lolote zaidi ya ziwa ,watu wanachapwa hadi na Kilimanjaro kwenye maghorofa iyo ni jiji ama glorified village..?
acha porojo weka picha ya hizo neighbourhoods za huko Arusha na Tanga ili na sisi wakina tomaso tuamini, idadi ya magorofa ya dodoma yanaingia mara nne kwa magorofa ya Tanga hii ina make sense, pia idadi ya magorofa ya Mwanza ni mara sita ya magorofa ya Arusha kweli ina make sense, mbali na hivyo bila ushabiki ukiangalia majenzi yanayoendelea mwanza ni hatari takribani majenzi 65,000 na Dar ni 34,000 majenzi yanayoendelea na hii inaashiria Mwanza inakuwa sana kuliko ata Dar kwasasa. tuusan karibu tena kwa povu.
 
Tufunge mjadala hakuna battle hapa..

Tuanzishe Mwanza vs Mbeya naona kwa Arusha ni kuionea Mwanza 😜😜
je vipi kuhusu Dodomd yenye magorofa 1000? endeleeni kulishana upumbavu.
sensa itakayo kuja usije kushangaa wakija na data mpya kuwa Tanga ina magorofa 120 na katavi ikiongoza kwa magorofa 40,000 😂 😂 😂
 
Mwanza bado sana hakuna lolote zaidi ya ziwa ,watu wanachapwa hadi na Kilimanjaro kwenye maghorofa iyo ni jiji ama glorified village..?
Kaka hizo report ziko wrong somewhere, Mwanza naifahamu vizuri sana.
Report ndio wametoa wanavyotaka ila kiuhalisia haiko hivyo
 
[emoji28][emoji28]yaani watu wanachukulia simple things....kwanza jiulize maghorofa ya kiwango gani ..pili angalia idadi ya majengo yanayoendelea kujengwa,...Kisha mwendelee kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndio madhara ya kutegemea sensa baada ya miaka 10 tena inafanyika ndani ya siku 7 halafu utegemee accuracy kama siyoulipuaji. Nchi nzima taasisi zinasubiri miaka kumi ndio zijue nini kinaendelea. This is pathetic!
 
Kwa wale makarani ..usitegemee accuracy yoyote ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mbobezi hasee ni mtu wa fact sana mkuu wangu.
Maghorofa yaliyoisha mwanza bado ni mengi.
Hii sensa ni ya nyumba za kuishi,
Sidhani kama kuna mtu amehesabiwa ofsini, ndio maana walisisitiza watu wawe majumbani.
Watu wengi wenye mageti hawakufungua mageti yao baada ya kupata Taarifa za maswali ya kijinga yaliyokuwa yana ulizwa.
 
And that's true .... makarani walikuwa washachoka ,,,,,,mi nilikuwa huku kahama makarani walikuwa wanakaa kwenye miti tu wanapika data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
And that's true .... makarani walikuwa washachoka ,,,,,,mi nilikuwa huku kahama makarani walikuwa wanakaa kwenye miti tu wanapika data

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibano mlichopewa na Arusha hamna hata hamu 😁😁😁😁..

Makarani wakiwa Mwanza na Kahama walichoka 😜😜.

Arusha piga kwenye mshono hao 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221101-221546.png
    Screenshot_20221101-221546.png
    153.5 KB · Views: 14
Maghorofa yaliyoisha mwanza bado ni mengi.
Hii sensa ni ya nyumba za kuishi,
Sidhani kama kuna mtu amehesabiwa ofsini, ndio maana walisisitiza watu wawe majumbani.
Watu wengi wenye mageti hawakufungua mageti yao baada ya kupata Taarifa za maswali ya kijinga yaliyokuwa yana ulizwa.
😂😂Arusha ilichoqafanya mtaomboleza hadi sensa ya 2032 😁😁
 
Back
Top Bottom