Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Nakuelewa mkuu, sema mwanajombe the sunk cost fallacy ni mjinga mmoja kila siku analeta habari za kijinga daily. Kuna wakati Huwa naamua kukaa kimya ila akizidisha ujinga wake namjibu. At least na wewe umeliona hilo
Tatizo arusha nguvu kazi imeendekeza bangi na kuwish kuolewa na madodo ya kizungu kazi hawapigi, miaka mitano ya magufuri mikoa inayochapa kazi kama shinyanga especially kahama, geita na mwanza imeendelea sana interms of one by one, watu wametoboa sana aisee ila arusha niuteja na kufuga rasi tu na bangi kwa wingi , sikuizi na ushoga. Huwa ninasema natokea moshi sio arusha japo ukoo karibu mzima uko arusha.
 
Pale wanaweza bangi asee. Kuna siku nilienda club Moja ilipofika saa Tano mashoga wakamiminika asee nilishangaa sana
 
Endeleeni kusimuliana ujinga ila Arusha inazidi kukimbiza
IMG_2461.jpg
 
Back
Top Bottom