Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Yule falla the sunk kawapoteza wenzio, pagwu Naye haonekani
Sunk ni ndumilakuwili huwa anaikubali sana Mwanza, kama ulifatilia uzi wa dar vs Nairobi alipost picha za Mwanza akaandika kama kuna mji mzuri kama Mwanza huko kunyaland nileteeni😂😂😂😂
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kweli haeleweki huyu.
 
Sunk ni ndumilakuwili huwa anaikubali sana Mwanza, kama ulifatilia uzi wa dar vs Nairobi alipost picha za Mwanza akaandika kama kuna mji mzuri kama Mwanza huko kunyaland nileteeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo ilivyo ukiona unamzungumzia sana demu iwe Kwa uzuri au Kwa ubaya uje ushwahi kumpenda ...huwezi kaa unadis ex ambaye humpendi ..[emoji28]
 
Nilitaka nilete maeneo ya Bata tu ila nikasema pale kwao Kuna kwamrombo, matako bar(mianzini) na kaloleli. Mambo ya beach watabaki kunishangaa tu
 
Hii battle imeisha, natamani battle ya Mwanza vs kampala au kigali, japo mombasa ipo juu kidogo ya mwanza, na kigali wana barabara clean sana n zipo poa sana kuliko za Mwanza.
 
Hayahayaaya makolo wa mwanza ishini na hiyo 🤣🤣🤣
 
Mapato ya utalii plus biashara za arusha na mengineyo ndio unakuja mbio mbio kujisifu, unafurahi mapato ya utalii kutokufika ata trillion moja, Mwanza haina utalii lakini inakusanya karibia bilion 250, nyie na Kilimanjaro kwenye utalii bado mnachechemea na hayo mapato kiduchu.
 
Huja

Hujaulizwa ufafanuzi. Mpo wengi kama nzi lakini, 'in steve nyerere' s voice- PUA PUA PUA'🤣 🤣 🤣
 
Mapato ya utalii plus biashara za arusha na mengineyo ndio unakuja mbio mbio kujisifu, unafurahi mapato ya utalii kutokufika ata trillion moja, Mwanza haina utalii lakini inakusanya karibia bilion 250, nyie na Kilimanjaro kwenye utalii bado mnachechemea na hayo mapato kiduchu.
Sema majitu ya mwanza ata tuliosoma nao shule yalikuwa mabishiii, mazito kuelewa, yani makompliketa mpaka kwenye maisha. Siwashangai. Arusha na Dar ndio majiji. Nyie ni watu wa bush, mji mkubwa jinga.
 
Back
Top Bottom