run CMD
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,185
- 3,909
Sina muda huo mimi kazitafute hukoZile picha za maghorofa zilizojaa mitandaoni zilipigwa na nani, Na wenyewe ni washamba sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina muda huo mimi kazitafute hukoZile picha za maghorofa zilizojaa mitandaoni zilipigwa na nani, Na wenyewe ni washamba sio?
Na nyie shukruni hiyo ware house kugeuzwa matumizi na kuwa AIM MALL. vinginevyo mngekuwa mnasota na ujuaji wenu.Mmevimba kichwa😁😁,Mwanza kijijini tu hakuna cha kushangaza,pamepoa,Raia washamba aaa.hakuna mishemishe
Mshukuruni Magufuli kawasaidia kidogo,kawajengea rock city mall mmepata pa kupigia picha 😁😁😁,wawekezaji wenyewe wanajuta kuchukua frames hapo,wateja hakuna
Nifute akaunti kwa ajili ya kubishania magorofa ya watu🤣🤣..acha ushamba wewe hizo ghorofa zinanisaidia niniFuta akaunti jf, na acha kubishana na sisi basi kama hicho ndo kigezo. Hata hujalazimishwa mbona.
Hii sindano ya ubongo inakutia wenge. Assume hatuna rock city mall tuma picha tushindanishe.Mwanza bila rock city mall ni sawa na singida tu 😀😀, Mshukuruni yule mzee sana,kawajengea sehemu ya kupigia picha 😁
Imewapa kujiamini kidogo na daraja lile
Anajitoa ufahami, namchora tu.Wewe jamaa ni mbuzi tu [emoji1] rock city mall imezinduliwa 2015 huko acha kua mjinga
Naona akili inazidi kuisha
Usinikenulie meno yako hapa umesema wee mtu mzima sasa mbona unabishana na sisi. Unajua human development goes through stages according to Freud sigmond?. Seems baadhi ya stage hujazipitia na ndo sasa umeamua kuzikamua. Kwa muktadha huo you are mentally not good. Umri wako ulitakiwa ukae na kulea familia yako. Vitu vya hapa vinahitaji justification ya either data au picha.Nifute akaunti kwa ajili ya kubishania magorofa ya watu🤣🤣..acha ushamba wewe hizo ghorofa zinanisaidia nini
Dah, sijapenda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Usinikenulie meno yako hapa umesema wee mtu mzima sasa mbona unabishana na sisi. Unajua human development goes through stages according to Freud sigmond?. Seems baadhi ya stage hujazipitia na ndo sasa umeamua kuzikamua. Kwa muktadha huo you are mentally not good. Umri wako ulitakiwa ukae na kulea familia yako. Vitu vya hapa vinahitaji justification ya either data au picha.
😀😀😀😀😀Dah, sijapenda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Bila rock city mall kuna nini tena?au ni zile hotel zilizojengwa na wachaga?Hii sindano ya ubongo inakutia wenge. Assume hatuna rock city mall tuma picha tushindanishe.
Justication for wasting time with uneducated people..Usinikenulie meno yako hapa umesema wee mtu mzima sasa mbona unabishana na sisi. Unajua human development goes through stages according to Freud sigmond?. Seems baadhi ya stage hujazipitia na ndo sasa umeamua kuzikamua. Kwa muktadha huo you are mentally not good. Umri wako ulitakiwa ukae na kulea familia yako. Vitu vya hapa vinahitaji justification ya either data au picha.
Usinikenulie meno yako hapa umesema wee mtu mzima sasa mbona unabishana na sisi. Unajua human development goes through stages according to Freud sigmond?. Seems baadhi ya stage hujazipitia na ndo sasa umeamua kuzikamua. Kwa muktadha huo you are mentally not good. Umri wako ulitakiwa ukae na kulea familia yako. Vitu vya hapa vinahitaji justification ya either data au picha.
Ashukuriwe Magufuli kwa kukumbuka kwao
Mshukuruni Magufuli kuwapa stand mpya akasepa,maendeleo ya juzi mliyoletewa na Magufuli mtatumia muda mrefu sana kuyapata tena.
Wamshukuru sana jiwe hawa,aliwapa upendeleo flani 🤣Kwahyo unataka daraja lijengwe Arusha kwenda wapi?THINK B4 YOU WRIGHT
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Acha ujinga, rocky city mall imejengwa kipindi Cha magu. Cannabis zishawachomea centre bolt.H
Ashukuriwe Magufuli kwa kukumbuka kwao
Bila Magufuli kuwasaidia ili daraja na rock city mall sijui ingekuwaje 🤣🤣
Gold crest hotel ya mchaga hio 🤣🤣,mtu anatoka kaskazini anaenda kuwajengea hotel,wenyeji wanavua dagaa tu 😀
Jiwe kawatoa shimoni hawa wajingaAcha ujinga, rocky city mall imejengwa kipindi Cha magu. Cannabis zishawachomea centre bolt.
Si angejeka Arusha palipochangamka, halafu acha ujinga wako hapa, Hilo jengo unalijua au unaropoka tuGold crest hotel ya mchaga hio 🤣🤣,mtu anatoka kaskazini anaenda kuwajengea hotel,wenyeji wanavua dagaa tu 😀
Anayo Arusha 3 na mwanza anayo 1.watu wanajua kutafuta pesaSi angejeka Arusha palipochangamka, halafu tia ujinga wako hapa, Hilo jengo unalijua au unaropoka tu
Jamaa wa Samsung A series umerudi kwa machungu makali[emoji1][emoji1]Kwahyo unataka daraja lijengwe Arusha kwenda wapi?THINK B4 YOU WRIGHT
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app