Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Mm ni mjinga ninaekizid kwa kila kitu[emoji1]

Unajisikiaje kuzidiwa pesa na msukuma mshamba

unatumia Samsung A03 mwanaume mzima na wewe ukisimama kwa watu unawaita wasukuma washamba masikini

Wewe ni fukara tu usirudie kuwaita wasukuma washamba na masikini, wenye pesa tupo[emoji3]

Haya turudi kwenye mada.. arusha mnatuzidi nini wanamwanza?
Achana na huu ujinga kabisa,
Nilikuambia tangu awali focus na thread sijui ni masikio Huna ama nn

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Tupe direction tufocus kwenye maneno matupu, au matusi au kejeli au dhihaka, wana Mwanza wakileta picha humu na evidence mnawaita washamba wa mapicha, wakileta picha za maghorofa et washamba wa maghorofa sasa tupeni mwongozo la sivyo uzi ufungwe, hakuna battle hapa na kila idara nyie Arusha mmezidiwa na watu wa Mwanza.
 
Tuma picha maelezo kidogo, yes mji wenu ni wakishamba tutawaambia ilo mpende ama msipende....
Lakini haimaanishi ndio uko hovyo kote,kuna visehemu kunaeleweka

Unarudia kutuita sisi washamba[emoji1][emoji1], kijana unapenda kujimwambafy kwenye upuuzi.
 
Ameachana na topic ameanza kuchambua simu nayotumia?huo ni utoto na ujinga nilszima nmewambie,kama battle imemuelemea atoke jf kwanza

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa wewe unaejiita mjanja kutumia simu ya kifala[emoji1] Mm ni mshamba ila siwezi kutumia simu kama yako hzo n simu za mabeki tatu
 
Kama hakuna ziwa au bahari, hilo sio jiji, ni uchochoro. Na nikosa kubwa kuanzisha battle kati ya jiji na uchochoro. I mean hawa watu wa uchochoron battle likiwatoa jasho watakwenda kupunga wapi upepo?!😳
 
Mkuu huo muda sina..
Kitu ambacho nimegundua pia huu uzi ni wa wasukuma haiwezeni niandiake post moja nijibiwe mara 30 na watu tofauti tofauti mnanijazia notifications
Sasa notification zikijaa shida nini
 
Kama hakuna ziwa au bahari, hilo sio jiji, ni uchochoro. Na nikosa kubwa kuanzisha battle kati ya jiji na uchochoro. I mean hawa watu wa uchochoron battle likiwatoa jasho watakwenda kupunga wapi upepo?![emoji15]
Johannesburg kuna ziwa ama bahari?even Nairobi kuna bahari? London?
Watu wa mwanza ni akili hamna ama ni nn

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Tupe direction tufocus kwenye maneno matupu, au matusi au kejeli au dhihaka, wana Mwanza wakileta picha humu na evidence mnawaita washamba wa mapicha, wakileta picha za maghorofa et washamba wa maghorofa sasa tupeni mwongozo la sivyo uzi ufungwe, hakuna battle hapa na kila idara nyie Arusha mmezidiwa na watu wa Mwanza.

Hebu warushie pale kuanzia jengo la mohan mpaka buzuruga plaza achana nao weka picha
Ukitoka hapo barabara ya buzuruga kwenda Nyasaka hebu rusha
 
Back
Top Bottom