Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

IMG_7727.jpg
 
Mm ni mjinga ninaekizid kwa kila kitu[emoji1]

Unajisikiaje kuzidiwa pesa na msukuma mshamba

unatumia Samsung A03 mwanaume mzima na wewe ukisimama kwa watu unawaita wasukuma washamba masikini

Wewe ni fukara tu usirudie kuwaita wasukuma washamba na masikini, wenye pesa tupo[emoji3]

Haya turudi kwenye mada.. arusha mnatuzidi nini wanamwanza?
Dah.. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ila sio fresh kupima hadhi ya maisha ya mtu kwa kuangalia simu anayotumia. Mimi kuna jamaa yangu mzee wake ni mbunge, lakini nilimwona faza ake anatumia Infinix Smart 6, duh nilishangaa sana kuona mbunge anatumia Infinix ya bei rahisi kama hiyo wakati watoto wake amewatandika macho matatu wote, na nyumba yao ni unyama tena ghorofa kali tu Kijichi.
Kuna wengine simu zao ni za kimasikini ila wenyewe sio masikini. Wanasema "They don't give shit about the goddamn phones" [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu ni kijana sio mzee
 
Nani hajapata jibu?

Mwanza sio ya kuilinganisha na vimji vya ajabu ajabu kama Arusha.

Mwanza inakimbizana na Dar kwenye kila kitu, miundombinu, mapato, wingi wa watu, uchangamfu, starehe, watoto wazuri, vyuo, nk. Muwe mnasoma hata takwimu/taarifa za serikali zinatolewa kila mara kuonyesha Mwanza is untouchable.

Arusha ilinganisheni na Kahama ama Musoma sio Mwanza ni kuivunjia heshima Mwanza.
Uhakika
 
Back
Top Bottom