tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Wew ndio mpumbavuMimi nakuchana live wewe ni mpumbavu shoga mmoja asiye na akili. Swali simple unaijua faida ya bypass ya tengeru sakina?
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wew ndio mpumbavuMimi nakuchana live wewe ni mpumbavu shoga mmoja asiye na akili. Swali simple unaijua faida ya bypass ya tengeru sakina?
Mkae kwa kutulia, tunajiandaa na Nyanzaga, tutikise tena nchi. Ajira tutatoa mpaka kwa machalii ya Ara
Hapa inabidi viongozi wa mkoa wawe wajanja sasa...Mkae kwa kutulia, tunajiandaa na Nyanzaga, tutikise tena nchi. Ajira tutatoa mpaka kwa machalii ya Ara
High grade zones only
![]()
G.D.P ya Mkoa lazima ipae, bado CSR ya huo mzigo. Tutawekewa lami mpaka uvunguni HAKI YA NANI. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji706][emoji706][emoji704][emoji704][emoji704][emoji704]....kumbe ndio maana aerial view Huwa mnaikwepa ....[emoji704]..
Duh,
Aiseee
Hii si kama Ghana na Kirumba tu
Mimi hii picha ndio itakuwa silaha yangu dhidi yenu ,....ukiangalia hapo sorrounding slums za kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28] choice variable ..njoo uone jiji lako huku ,,,,Bora dodoma aerial view yake Kali[emoji28][emoji28]
Kuongea rahisi sanaHii si kama Ghana na Kirumba tu
Kuna mpuuzi mmoja alikua anaitaja dar hapa. Serikali isilete uhuni wake wa HQ ya nyanzaga iwe dar tuone umwamba wa darMkae kwa kutulia, tunajiandaa na Nyanzaga, tutikise tena nchi. Ajira tutatoa mpaka kwa machalii ya Ara
High grade zones only
![]()
G.D.P ya Mkoa lazima ipae, bado CSR ya huo mzigo. Tutawekewa lami mpaka uvunguni HAKI YA NANI. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nayaona maghorofa 7000 ya Arusha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Gana ipe heshima yake please [emoji3]Hii si kama Ghana na Kirumba tu
Na hio ndo arusha iloizidi mwanza kwa magorofa. Naanza kuamin upikwaji wa takwimu.Mimi hii picha ndio itakuwa silaha yangu dhidi yenu ,....ukiangalia hapo sorrounding slums za kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28] choice variable ..njoo uone jiji lako huku ,,,,Bora dodoma aerial view yake Kali[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Simuliwa kuhusu Arusha Sasa
Mi nashangaa sana kwa nini hawa chalii wa Arusha wanakaza sana fuvu. Ukiwaambia walete picha wengine hawaleti wanaishia kuweka auto-reply[emoji28][emoji28]Kweli Mwanza mko juu, yaani hata kwenye kutembea, hatua moja ya mtu wa Mwanza ni sawa na hatua mbili za mtu wa Chugga!
Achana na matakwimu ya michongo hayo.Nayaona maghorofa 7000 ya Arusha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna fisi Moja ilisema Arusha inaizidi mwanza mandhari,,sijui ilikuwa imekula kvant [emoji75][emoji28]
Hiyo picha aliyoweka hata 100 tu inabidi utumie miwani,Nayaona maghorofa 7000 ya Arusha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app