Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Wew ndio mpumbavu

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Mkae kwa kutulia, tunajiandaa na Nyanzaga, tutikise tena nchi. Ajira tutatoa mpaka kwa machalii ya Ara

High grade zones only
OreCorp.jpg

G.D.P ya Mkoa lazima ipae, bado CSR ya huo mzigo. Tutawekewa lami mpaka uvunguni HAKI YA NANI. 😄 😄 😄 😄 😄 😄
 
Mkae kwa kutulia, tunajiandaa na Nyanzaga, tutikise tena nchi. Ajira tutatoa mpaka kwa machalii ya Ara

High grade zones only
OreCorp.jpg

G.D.P ya Mkoa lazima ipae, bado CSR ya huo mzigo. Tutawekewa lami mpaka uvunguni HAKI YA NANI. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hapa inabidi viongozi wa mkoa wawe wajanja sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkae kwa kutulia, tunajiandaa na Nyanzaga, tutikise tena nchi. Ajira tutatoa mpaka kwa machalii ya Ara

High grade zones only
OreCorp.jpg

G.D.P ya Mkoa lazima ipae, bado CSR ya huo mzigo. Tutawekewa lami mpaka uvunguni HAKI YA NANI. [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kuna mpuuzi mmoja alikua anaitaja dar hapa. Serikali isilete uhuni wake wa HQ ya nyanzaga iwe dar tuone umwamba wa dar
 
Mimi hii picha ndio itakuwa silaha yangu dhidi yenu ,....ukiangalia hapo sorrounding slums za kufa mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji28] choice variable ..njoo uone jiji lako huku ,,,,Bora dodoma aerial view yake Kali[emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hio ndo arusha iloizidi mwanza kwa magorofa. Naanza kuamin upikwaji wa takwimu.
 
Kweli Mwanza mko juu, yaani hata kwenye kutembea, hatua moja ya mtu wa Mwanza ni sawa na hatua mbili za mtu wa Chugga!
Mi nashangaa sana kwa nini hawa chalii wa Arusha wanakaza sana fuvu. Ukiwaambia walete picha wengine hawaleti wanaishia kuweka auto-reply[emoji28][emoji28]
Wengine wanajaribu walau kuleta picha za Arusha lakini kila picha wanayoleta ni ushuzi[emoji23][emoji23]
Huu uzi ufungwe tu, mshindi ameshajulikana. Labda walete Mwanza vs Kampala ndio itakuwa fair
 
Back
Top Bottom