Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Leo tuko isamilo.
IMG_20230223_100223.jpg
 
Nayaona maghorofa 7000 ya Arusha [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufikiria kama kuku kijana,maghorofa 7000 hayawezi kua yote cbd, ni ndani ya mkoa wa Arusha, nje ya cbd maghorofa pia yapo,hata kwa wadosi maghorofa pia yapo...
Tatizo lenu mko kwenye denial arusha kuwapiga fimbo kwenye maghorofa insuka lakini hatuna la kuwasaidia

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Na bado nasimamia usemi wangu kwamba barabara nyingi Arusha hazina njia za watembea kwa miguu na ziko katikati ya mji
 
Nalinganisha jiji la maghorofa 9 na jiji lenye maghorofa 7000 du hii nchi hii inaongoza kwa kupika data.
 
Back
Top Bottom