Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Arusha CBDView attachment 2527294

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
_20221111_090620.JPG
_20221111_090507.JPG

Ukubwa na mandhari zinaendana
 
Porojo hizi hatari sana, its a bit expensive But Will it serve the same purpose?
Yenyewe inavusha gari chache sana kwenda Sengerema hata kiuchumi haina impact lubwa kivile

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kumbe hata hujui ukiongeacho,ngoja tukusaidie kukuelewesha sasa.Kuna magari mengi sana yana kwenda Nchi za Rwanda na Burundi kupitia hapo kivukoni,kuna magari yasiyo na idadai yanavuka hapo kwenda Mikoa ya Kagera,Kigoma na Geita.
 
Magari 1600 kwa siku kwako ni mengi sana?Acha ujinga

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Zile picha za Mwanza ulizopost na ukaumbuliwa hapa ukapiga kimya
Zipi? Compile uweke ana kwa ana tuone. Alafu ujue mi ata arusha sipo lakini nikienda this time ntapiga picha kama washamba wa mwanza ili mtie adabu. mwanza kuna nini babu we
 
Pisi ya arusha katika ubora wako[emoji1]
 
Back
Top Bottom