ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Watakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAAWatakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii [emoji16][emoji16]
Mbona ni kama hapa 👇Arusha vs Nyakato Mwanza na hapa nyakato haionekani yote[emoji1787][emoji1787]
Nyakato ni kata ipo km 7 kutoka CDBView attachment 2534602View attachment 2534605
Hawalali wazungu tu mpka sie wenyej tunalal. JE WEW USHAWAI LALA HAPO?[emoji23]View attachment 2535647Wape na hizi, washamba wasishangae ni vitu vidogo sana kwa Arusha. Waambie washamba wa mwanza wasivue viatu hapo [emoji116][emoji116]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiki ni nini wacha nikujibu hakuna namnaWape na hizi, washamba wasishangae ni vitu vidogo sana kwa Arusha. Waambie washamba wa mwanza wasivue viatu hapo [emoji116][emoji116]
Hapa nani mshambaWape na hizi, washamba wasishangae ni vitu vidogo sana kwa Arusha. Waambie washamba wa mwanza wasivue viatu hapo [emoji116][emoji116]
Najua hauwez kujibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] njooo upate upepo mwanana pembeni na toto kali la kisukuma lenye body lakeWape na hizi, washamba wasishangae ni vitu vidogo sana kwa Arusha. Waambie washamba wa mwanza wasivue viatu hapo [emoji116][emoji116]
Kaka tuwie radhi Sisi wana arusha tumekomaaa[emoji23][emoji23][emoji119]Najua hauwez kujibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] njooo upate upepo mwanana pembeni na toto kali la kisukuma lenye body lakeView attachment 2535679View attachment 2535680View attachment 2535681View attachment 2535682
Halafu haina barabara nzuriCbd ya chuga ni upuuz [emoji3]
Kanakuuuma,Kila siku ni kuzungusha angles za haka ka picha 🤪🤪
Ukiona kuna sehemu unaweza jitutumua unapost picha ila pale unapopigwa TKO unasema picha ni ushamba,🤣🤣Wape na hizi, washamba wasishangae ni vitu vidogo sana kwa Arusha. Waambie washamba wa mwanza wasivue viatu hapo 👇👇
Wala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana. Kimsingi Mwanza ni mtoto ata kwa Tanga. Mtu wa Tanga mjini ana ustaarab wa mjini kama alivyo wa Arusha au Dar ila sio mwanza. mwanza ni washamba mmeanza kuona maghorofa juzi juzi ndio maana mna wenge, alafu bado sana pia, pamoja na population kuwa kubwa, mmezidiwa idadi ya majengo ya ghorofa na huduma za kisasa mkubali mkatae. mtajijua wenyewe.Ukiona kuna sehemu unaweza jitutumua unapost picha ila pale unapopigwa TKO unasema picha ni ushamba,🤣🤣
Baada ya ,1994 ikaanza kulamba za usoWala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana.
Wala, population growth ikawa ndogo, na siasa zikahappen. Ila kwa idadi ya watu pale town na huduma, so far hakuna wilaya inaizidi. Kinondoni ni vile watu ni wengi na eneo ni kuubwa sana, ila ndio zinafuatana.Baada ya ,1994 ikaanza kulamba za uso
Hyo arusha Kwa idadi ya watu ni ya 7 .Wala, population growth ikawa ndogo, na siasa zikahappen. Ila kwa idadi ya watu pale town na huduma, so far hakuna wilaya inaizidi. Kinondoni ni vile watu ni wengi na eneo ni kuubwa sana, ila ndio zinafuatana.
1994 unajua bungando imejengwa mwaka gani?Wala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana. Kimsingi Mwanza ni mtoto ata kwa Tanga. Mtu wa Tanga mjini ana ustaarab wa mjini kama alivyo wa Arusha au Dar ila sio mwanza. mwanza ni washamba mmeanza kuona maghorofa juzi juzi ndio maana mna wenge, alafu bado sana pia, pamoja na population kuwa kubwa, mmezidiwa idadi ya majengo ya ghorofa na huduma za kisasa mkubali mkatae. mtajijua wenyewe.
Service per population. Elewa.Hyo arusha Kwa idadi ya watu ni ya 7 .
1.ilala
2.kinondoni
3.temeke
4.ubungo
5.kigamboni
6.nyamagana
7.arusha
8.ilemela
9.dodoma
10.mbeya
1994 unajua bungando imejengwa mwaka gani?
Acha kua mjinga mwanza tumeanza kuona magorofa marefu since 1930s
Kuna maeneo kama national,kirumba na mkuyuni yamekua town barabara za lami hadi kwenye mitaa zamani sana enzi hizo arusha inaitwa singida[emoji1787][emoji1787] hujui historia wewe binti
Yani huna ata aibu, Bugando? mji wenyewe umekuwa established 1963, ushuzi mtupu. Wenzenu incorporated 1948 as a town, siyo mkoa.1994 unajua bungando imejengwa mwaka gani?
Acha kua mjinga mwanza tumeanza kuona magorofa marefu since 1930s
Kuna maeneo kama national,kirumba na mkuyuni yamekua town barabara za lami hadi kwenye mitaa zamani sana enzi hizo arusha inaitwa singida[emoji1787][emoji1787] hujui historia wewe binti