Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Watakwambia wao wanaongoza Kwa Utalii [emoji16][emoji16]

TAA
20230302_201801.jpg
 
Ukiona kuna sehemu unaweza jitutumua unapost picha ila pale unapopigwa TKO unasema picha ni ushamba,🤣🤣
Wala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana. Kimsingi Mwanza ni mtoto ata kwa Tanga. Mtu wa Tanga mjini ana ustaarab wa mjini kama alivyo wa Arusha au Dar ila sio mwanza. mwanza ni washamba mmeanza kuona maghorofa juzi juzi ndio maana mna wenge, alafu bado sana pia, pamoja na population kuwa kubwa, mmezidiwa idadi ya majengo ya ghorofa na huduma za kisasa mkubali mkatae. mtajijua wenyewe.
 
Baada ya ,1994 ikaanza kulamba za uso
Wala, population growth ikawa ndogo, na siasa zikahappen. Ila kwa idadi ya watu pale town na huduma, so far hakuna wilaya inaizidi. Kinondoni ni vile watu ni wengi na eneo ni kuubwa sana, ila ndio zinafuatana.
 
Hyo arusha Kwa idadi ya watu ni ya 7 .
1.ilala
2.kinondoni
3.temeke
4.ubungo
5.kigamboni
6.nyamagana
7.arusha
8.ilemela
9.dodoma
10.mbeya
 
Wala, zipo kibao nakosa tu muda, wewe Arusha ilikuwa ndio manispaa yenye maendeleo kuliko zote until 1994, braza Mwanza ni mtoto mdogo sana. Kimsingi Mwanza ni mtoto ata kwa Tanga. Mtu wa Tanga mjini ana ustaarab wa mjini kama alivyo wa Arusha au Dar ila sio mwanza. mwanza ni washamba mmeanza kuona maghorofa juzi juzi ndio maana mna wenge, alafu bado sana pia, pamoja na population kuwa kubwa, mmezidiwa idadi ya majengo ya ghorofa na huduma za kisasa mkubali mkatae. mtajijua wenyewe.
1994 unajua bungando imejengwa mwaka gani?

Acha kua mjinga mwanza tumeanza kuona magorofa marefu since 1930s

Kuna maeneo kama national,kirumba na mkuyuni yamekua town barabara za lami hadi kwenye mitaa zamani sana enzi hizo arusha inaitwa singida[emoji1787][emoji1787] hujui historia wewe binti
 
Hahaa wazee wa mabugando. Kwendraa mshamba.

Yani huna ata aibu, Bugando? mji wenyewe umekuwa established 1963, ushuzi mtupu. Wenzenu incorporated 1948 as a town, siyo mkoa.
 
Back
Top Bottom