Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

Ukitumwa 5 star utaleta hili pagale ..[emoji706][emoji706]

Machimbo yapo mwanza unapata natural adventure,,,na lake breeze...sio hzo artificial pools zenu [emoji116]View attachment 2540472View attachment 2540473View attachment 2540474View attachment 2540475
Pia unapata kuride farasi. Kuona wanyama mbalimbali, hiking, biking etc... yote hayo sehemu moja[emoji23]. Afu at a relatively cheap price. Arusha nimekaa na mwanza nimekaa... kote ni unique kwa namna yake, ila kwa maisha ya kila siku nachagua mwz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamji kadogo sana hako. Cheki nyumba zilivojaa kutu kwenye mabati[emoji88][emoji88]... yani pamoja na kua picha ni HQ ila bado muonekano hauridhishi...
Na hio round about nafkir hizo pic zimepigwa miaka kadhaa iliopita, kwa sasa pamechakaa kichiz na kuna msongamano wa watu na magari..

Sent using Jamii Forums mobile app
Niletee Skyline kama hii ya Arusha hapo fishing village ya Mwanza
 
Mwanza mnatuaibisha sana,Jiji linafanana kama hivi inavyoonekana Arusha..
 
Ata haifananii yani kumekaa shaghalabaghala, alafu ni SPA sio SPAR. ushamba mzigo. Mmechelewa sana vitu hivo, The arusha hotel wanafanya Spa tangu 1894 at the New Arusha hotel kenge wewe, saivi inaitwa four points by Sheraton, mwanza ni takataka tu kwa arusha. Ni mshamba tu au jitu lisilo na information ndio linaweza toa mishipa eti mwanza ipo juu ya Arusha , haitowai kutokea. Picha ukitaka tumia akili acha ushamba.
Nishakataa kuleta porojo kwenye post zangu, njoo na ushaid ndo uniquote otherwise maumivu yakizidi muone daktar me natoa dozi tuu. Me nitajuaje kwamba Arusha ina spar since nyanyanyanya njoo na evidence ndo tukae mezani au ww ni ASKARI WA ZENJI
 
Utakuwa umeanza kutumia internet 2019 wewe. Sema ndio hivo bado malimbukeni, vitu vingi kwenu vigeni. Sasa una post random sources kutoka kwenye search engine. Mwanza why? Slow people of mwanza shame on you.
Njoo na evidence we Mwanamke, maneno tupu mpelekee bwana ako
 
Back
Top Bottom